elvee JF-Expert Member Joined Jan 27, 2017 Posts 1,110 Reaction score 1,625 Feb 21, 2017 #1 Habari zenu wana JF Naomba mnisaidie ni powder gani inafaa kwa Uso wenye ngozi ya kawaida kwani nilikuwa napaka nikipaka powder napata rashes . Powder nilizopaka ni: =Ponds =Royal =Mac =Family care Msaada tafadhali
Habari zenu wana JF Naomba mnisaidie ni powder gani inafaa kwa Uso wenye ngozi ya kawaida kwani nilikuwa napaka nikipaka powder napata rashes . Powder nilizopaka ni: =Ponds =Royal =Mac =Family care Msaada tafadhali
rubii JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 14,032 Reaction score 18,540 Feb 24, 2017 #2 Kwani ni lazima upake poda mpendwa?
elvee JF-Expert Member Joined Jan 27, 2017 Posts 1,110 Reaction score 1,625 Feb 24, 2017 Thread starter #3 rubii said: Kwani ni lazima upake poda mpendwa? Click to expand... Napenda kupaka poda Ila kama kuna njia mbadala nijuze
rubii said: Kwani ni lazima upake poda mpendwa? Click to expand... Napenda kupaka poda Ila kama kuna njia mbadala nijuze
rubii JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 14,032 Reaction score 18,540 Feb 24, 2017 #4 elvee said: Napenda kupaka poda Ila kama kuna njia mbadala nijuze Click to expand... Epukana nayo kama inamadhara kwako... au faida za kupaka poda nikubwa zaidi kuliko madhara
elvee said: Napenda kupaka poda Ila kama kuna njia mbadala nijuze Click to expand... Epukana nayo kama inamadhara kwako... au faida za kupaka poda nikubwa zaidi kuliko madhara
ladypeace JF-Expert Member Joined Dec 19, 2012 Posts 935 Reaction score 506 Feb 24, 2017 #5 mi nimehangaika na poda nimeamua kupaka babypoda kabisa sitaki shida