Powder gani nzuri ya kutumia?

Powder gani nzuri ya kutumia?

elvee

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2017
Posts
1,110
Reaction score
1,625
Habari zenu wana JF
Naomba mnisaidie ni powder gani inafaa kwa Uso wenye ngozi ya kawaida kwani nilikuwa napaka nikipaka powder napata rashes .

Powder nilizopaka ni:
=Ponds
=Royal
=Mac
=Family care
Msaada tafadhali
 
mi nimehangaika na poda nimeamua kupaka babypoda kabisa sitaki shida
 
paka

images
 
Back
Top Bottom