Power bank made in Uganda. Hivi sasa ndio viwanda sio sisi Blah! Blah!

Power bank made in Uganda. Hivi sasa ndio viwanda sio sisi Blah! Blah!

A 88000mAH Power Bank Made In Uganda, Nilikua Sina Shida Ya Power Bank Lakini Nimenunua Ili Kuwaunga Mkono Majirani...Hivi Sasa Ndio Viwanda Sio Sisi Bla Bla Bla
.
Tumekusikia marketing officer wa vitu vya watu wengine, hivi wewe au mama yako mlishawahi tengeneza chochote au ni watumiaji tu wa vitu vilivyotengenezwa na wengine?
 
Sema pesa huna za kununua vipya unazo tu za kununua mitumba,mbaazi akikosa maua husingizia jua
Unaona kama huyu naye eti anajiita mtanzania. Lazima waanzishe viwanda sababu hela ya tanzania unawapelekea wao na wanauza kwa faida. So ili tanzania iondokane na umaskini lazima watu wenye uji badala ya akili waishe kwanza
 
bidhaa za tanzania hazina ubora kabisaaaaa sababu mamlaka za viwango wala rushwa wakubwa, pakage za hovyo, ujazo wa hovyo, ubora wa.hovyo yaani kila kitu tanzania.hovyo kabisa

hata vyombo vya plastic vya tanzania hovyo kabisa vyepesi havina ubora beseni.bora ununue la kenya au uganda sio tanzania
Sasa hapo ndipo ulipokosea labda kama wewe sio mtz
 
Kila kitu ni cha hovyo pamoja na wewe wa hovyo pia ndo maana kila kitu cha hovyo
 
Tumekusikia marketing officer wa vitu vya watu wengine, hivi wewe au mama yako mlishawahi tengeneza chochote au ni watumiaji tu wa vitu vilivyotengenezwa na wengine?
mpumbavu wewe unataka watu wasifie kitu ambacho hakipo? nchi tanzani imejaa siasa pesa nyingi sana inapotelea kuhudumia siasa tena.za.kipumbavu kabisa viwanda hakuna na hajengwi wewe jwa ujuha wako unaongelea uzalishaji wa mtu mmoja wakati hapa tunaongelea taifa kwa ujumla, wajinga kama wewe msio taka ukweli uwe wazi ndio mnao potosha taifa ,

uganda wanajitahidi sana hasa kwa viwanda vyao na ubora wa bidhaa zao sio tanzania nchi ya kipuuz kabisa haina dira wa.mipango.
 
unaongelea uzalishaji wa mtu mmoja wakati hapa tunaongelea taifa kwa ujumla, wajinga kama wewe msio taka ukweli uwe wazi ndio mnao potosha taifa ,
Hizo power bank zimezalishwa na serikali ya uganda na zimeandikwa made by the government of Uganda?
 
Binafsi naamini maneno huumba, kuna mzungu mmoja alipanda miti 2 akawa anaweka mbolea kila mti na kuumwagilia maji kila siku. Ila mti mmoja alikuwa akiutreat vizuri kwa maneno matam, na mwingine anautukana kila siku, amini usiamini ile miti ilikuwa inawasiliana maana alikuwa anapima na vipimo vyake na aliona huu mti uliokuwa unatukanwa kila siku afya yake ilikuwa dhoofu na huu mwingine ulikuwa na afya tela. Hivyo wengi mnaoisema vibaya tanzania, na matendo yenu yanaendana na mawazo yenu. Hivyo tanzania kufanikiwa ni vigumu kama nyie bado mpo.
 
Kwangu mimi sishangai sana maana wamecopy na kupaste, wanatakiwa kuja na idea mpya kabisa ambayo haijafanywa Popote duniani..big up
 
Back
Top Bottom