Safi sana hivi ndio viwanda,sio kutuambia chereani zikiwa tano,ni kiwanda,
Sio lazima,tutengeneze smart phone,tunaweza kuanzia na bidhaa za tekinolojia ndogo tu,viatu vya ngozi,viti vya plastic,batteries za radio,mpaka zile kubwa za 2000AH,zinazotumika kwenye minara ya simu,sasa HV zote zinatoka SA,
Hebu fikiria Betty ya 12V,170AH inahuzwa dola 600,tukiweza kuzalisha zote zinazotumika kwenye minara,pesa ngapi tutapata kupitia kodi,??badala ya kuhangaika kufunga viduka vya kina mama eti hawatumii machine za EFD,