Tumekusikia marketing officer wa vitu vya watu wengine, hivi wewe au mama yako mlishawahi tengeneza chochote au ni watumiaji tu wa vitu vilivyotengenezwa na wengine?A 88000mAH Power Bank Made In Uganda, Nilikua Sina Shida Ya Power Bank Lakini Nimenunua Ili Kuwaunga Mkono Majirani...Hivi Sasa Ndio Viwanda Sio Sisi Bla Bla Bla
.
Tatizo lako unahisi Kila anaekosoa Ni chademaNachukia sana mtu anayeibeza nchi yangu. Unaitukana nchi ambayo na wewe umo inamaana unajitukana na wewe hukohuko. So anayeweza kutukana kivuli chake mwenyewe ni kichaa tu. So na huyu naye ni kichaa
Kaibeza nchi gani mkuu?Nachukia sana mtu anayeibeza nchi yangu. Unaitukana nchi ambayo na wewe umo inamaana unajitukana na wewe hukohuko. So anayeweza kutukana kivuli chake mwenyewe ni kichaa tu. So na huyu naye ni kichaa
Sema pesa huna za kununua vipya unazo tu za kununua mitumba,mbaazi akikosa maua husingizia juaMim mwenyewe siwez kuvaa bidhaa ya Tanzania hadi ccm iondoke madarakani
A 88000mAH Power Bank Made In Uganda, Nilikua Sina Shida Ya Power Bank Lakini Nimenunua Ili Kuwaunga Mkono Majirani...Hivi Sasa Ndio Viwanda Sio Sisi Bla Bla Bla
View attachment 704543
View attachment 704544
Ujinga Wa Ujanani Ndio Umaskini Wa Uzeeni
mr mkiki.
Unazidi kunichanganya!! Kwani mtoa mada amesema yy anatoka ncho gan? Au mnajuana?Mnafiki ni wewe unayetukana nchi yako
Unaona kama huyu naye eti anajiita mtanzania. Lazima waanzishe viwanda sababu hela ya tanzania unawapelekea wao na wanauza kwa faida. So ili tanzania iondokane na umaskini lazima watu wenye uji badala ya akili waishe kwanzaSema pesa huna za kununua vipya unazo tu za kununua mitumba,mbaazi akikosa maua husingizia jua
Unajua kuwa Kuna kiatu cha mtumba kinauzwa laki+ au umevimbiwa shibe ya lumumbaSema pesa huna za kununua vipya unazo tu za kununua mitumba,mbaazi akikosa maua husingizia jua
Sasa hapo ndipo ulipokosea labda kama wewe sio mtzbidhaa za tanzania hazina ubora kabisaaaaa sababu mamlaka za viwango wala rushwa wakubwa, pakage za hovyo, ujazo wa hovyo, ubora wa.hovyo yaani kila kitu tanzania.hovyo kabisa
hata vyombo vya plastic vya tanzania hovyo kabisa vyepesi havina ubora beseni.bora ununue la kenya au uganda sio tanzania
mpumbavu wewe unataka watu wasifie kitu ambacho hakipo? nchi tanzani imejaa siasa pesa nyingi sana inapotelea kuhudumia siasa tena.za.kipumbavu kabisa viwanda hakuna na hajengwi wewe jwa ujuha wako unaongelea uzalishaji wa mtu mmoja wakati hapa tunaongelea taifa kwa ujumla, wajinga kama wewe msio taka ukweli uwe wazi ndio mnao potosha taifa ,Tumekusikia marketing officer wa vitu vya watu wengine, hivi wewe au mama yako mlishawahi tengeneza chochote au ni watumiaji tu wa vitu vilivyotengenezwa na wengine?
siwezi kukosea naongea nlicho fanyia utafiti acheni unafiki wa kutaka sifa ambazo hazipo, tanzania siasa nyingi kuliko maendeleo na kibaya zaid tuna uongozi wa hovyo kabisa unao jali siasa kuliko maendeleo.Sasa hapo ndipo ulipokosea labda kama wewe sio mtz
Hizo power bank zimezalishwa na serikali ya uganda na zimeandikwa made by the government of Uganda?unaongelea uzalishaji wa mtu mmoja wakati hapa tunaongelea taifa kwa ujumla, wajinga kama wewe msio taka ukweli uwe wazi ndio mnao potosha taifa ,
we na mke wako mlitengeneza nini !!Tumekusikia marketing officer wa vitu vya watu wengine, hivi wewe au mama yako mlishawahi tengeneza chochote au ni watumiaji tu wa vitu vilivyotengenezwa na wengine?
unacho kiweke hapa?Unajua kuwa Kuna kiatu cha mtumba kinauzwa laki+ au umevimbiwa shibe ya lumumba