Power bank made in Uganda. Hivi sasa ndio viwanda sio sisi Blah! Blah!

siwezi kukosea naongea nlicho fanyia utafiti acheni unafiki wa kutaka sifa ambazo hazipo, tanzania siasa nyingi kuliko maendeleo na kibaya zaid tuna uongozi wa hovyo kabisa unao jali siasa kuliko maendeleo.
Wala sitaki sifa angalia hata comment zangu nyingine nlikuoba unakosea uposema bidhaa zote


Haya weka basi uo utafiti ulioufanya na uliufanyaje. Tuone
 
we na mke wako mlitengeneza nini !!
sisi ni watumiaji wa vitu vya watu wengine vilivyotengenezwa Tanzania hapa hapa kuanzia mabati,simenti,funiture,maji ya kunywa,nk
 
siwezi kukosea naongea nlicho fanyia utafiti acheni unafiki wa kutaka sifa ambazo hazipo, tanzania siasa nyingi kuliko maendeleo na kibaya zaid tuna uongozi wa hovyo kabisa unao jali siasa kuliko maendeleo.
Hafu cha Pili unaongea kisaisa au kilaamu maana nisije nikawa najibizana na bavicha au uvccm
 
Maana ni sawa na mafundi 10 wanajenga nyumba, then watatu wanabomoa, yaan tofali 10 zikiwekwa on the spot wakati zile 10 zingine zikipanda, 3 zinabomolewa na hawa mafundi wengine. Wabomoaji ndo hawa tulionao humu na ciongozi wao kina mange, lissu na wengine so maendeleo yetu yatakuja kwa taratibu sana kwa sababu hiyo
 
mfano.wako.wa.kitoto kabisa nahisi hata wwe ni mtoto bado, kwanini hamaki kuusikia.ukweli?? tanzania tu mabingwa bwa siasa na pesa nyingi sana inapotelea huko tena siasa za kipumbavu kabisa
 
Sawa tuma salamu kwa watu watatu.
 
Made in Uganda au assembled in Uganda?
 
Uzalendo Kwanza
Zanzibar Tunasema
Mapinduzi Daima πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€


Tanzania Ni Nchi Nzuri Sana Yaani Asali Na Maziwa πŸ™„
 
Watu hamfanyi kazi mnakaa kulalamika tu kila kukicha unafikiri maendeleo anayaleta magufuli peke yake?, nyie wananchi msipotaka kufanya kazi, kujituma maendeleo hayawezi kuja menyewe
Hawafanyi kazi wanakula kwako hacha hizo.
 
Alikuwa anatafuta upenyo wa kuanza kutukana na kuharibu post.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…