Power bank made in Uganda. Hivi sasa ndio viwanda sio sisi Blah! Blah!

Unalosema ni kweli. Wachina ambao wamekuja hapa kuwekeza bidhaa ni duni mf mabati kuna kampuni ilianza kuwekeza Zambia baadae hapa. Ukiangalia bidhaa yao ni bora na bei nafuu. Wakati wote ni wachina.
 
Tumekusikia marketing officer wa vitu vya watu wengine, hivi wewe au mama yako mlishawahi tengeneza chochote au ni watumiaji tu wa vitu vilivyotengenezwa na wengine?
Hiyo ni changamoto. Tulikuwa watengenezaji wazuri wa waya za umeme lakini sasa he. Tulikuwa na General Tyre lakini sasa iko wapi. Twambie bidhaa bora inayozalishwa hapa uone kama hatununui. Linganisha sabuni ya kuku, taifa na jamaa. Ukweli utakuweka huru.
 
Nachukia sana mtu anayeibeza nchi yangu. Unaitukana nchi ambayo na wewe umo inamaana unajitukana na wewe hukohuko. So anayeweza kutukana kivuli chake mwenyewe ni kichaa tu. So na huyu naye ni kichaa
We utasifu mavi yako ni chakula wakati ni mavi tu
 
Inasemwa vibaya sasahivi. Mbona ni kitambo imedolora tunarudi nyuma tangu 1980s. Acha visingizio tafuta kiini cha matatizo yetu.
 
Kwangu mimi sishangai sana maana wamecopy na kupaste, wanatakiwa kuja na idea mpya kabisa ambayo haijafanywa Popote duniani..big up
Tuonyeshe hata hiyo ya kukopi hili ije kuboreshwa.
 
mfano.wako.wa.kitoto kabisa nahisi hata wwe ni mtoto bado, kwanini hamaki kuusikia.ukweli?? tanzania tu mabingwa bwa siasa na pesa nyingi sana inapotelea huko tena siasa za kipumbavu kabisa
Acha kujibizana na jini, Unapoteza muda.
 
Mkuu power yake ni hii 88000mAH au 8800mAH ...? Sijaelewa
 
Safi sana hivi ndio viwanda,sio kutuambia chereani zikiwa tano,ni kiwanda,
Sio lazima,tutengeneze smart phone,tunaweza kuanzia na bidhaa za tekinolojia ndogo tu,viatu vya ngozi,viti vya plastic,batteries za radio,mpaka zile kubwa za 2000AH,zinazotumika kwenye minara ya simu,sasa HV zote zinatoka SA,
Hebu fikiria Betty ya 12V,170AH inahuzwa dola 600,tukiweza kuzalisha zote zinazotumika kwenye minara,pesa ngapi tutapata kupitia kodi,??badala ya kuhangaika kufunga viduka vya kina mama eti hawatumii machine za EFD,
 
Watu hamfanyi kazi mnakaa kulalamika tu kila kukicha unafikiri maendeleo anayaleta magufuli peke yake?, nyie wananchi msipotaka kufanya kazi, kujituma maendeleo hayawezi kuja menyewe
Vp Mkuu,mbona povu sana?
 
Tumekusikia marketing officer wa vitu vya watu wengine, hivi wewe au mama yako mlishawahi tengeneza chochote au ni watumiaji tu wa vitu vilivyotengenezwa na wengine?
Mkuu,mama yake kahusika vp tena kwenye hilo andko?
 
Mbona hata huku kwetu vipo
Unataka kusema hatuna mashine tano za cherehani nchi nzima?
 


Tanzania kiwanda cha kushona nguo hicho.....waziri wa viwanda nae alienda kuzindua.
 
Mbona unachonga sana mdomo wewe hiyo ni fursa umeiona sasa si ujenge kiwanda wewe utajirike? Mijitu mibwege utaijua inajua sana kuona fursa lakini huishia kuongea tu vijiweni.Wekeza wewe au tafuta partners muwekeze.Usiwe kama profesa wa biashara ambaye hana peremende ya kuuza wala genge la kuuza hata fungu moja la nyanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…