Hata Horoya walisema hawaiogopi Simba, wakala 7-0. Na Yanga nao kwa Simba walikula 5-0 (ushahidi wa video upo)Mabingwa wa Zambia power Dynamo wasema kwa hapa Tanzania hakuna timu ambayo wanaiogopa kukutana nayo kama Yanga
Ila kwakuwa wamebahatika kukutana na Simba [emoji250][emoji250] .......basi Simba wajiandae kichapo.....maana watapigwa tu
NB: Nini maoni Yako kwenye hili
Je umefikia umri wa balehe?Kichapo kinatuhusu
Imeandikwa ; Waacheni watoto wadogo waje kwangu maana ufalme wa Mbinguni ni wao.Utoto raha sana. Aliyeanzisha uzi huu hakika ni mtoto mdogo bado ananuka maziwa mdomoni
Hivi aliyeandika anajua hata alichoandika, yangu lini Power Dynamos ikawa timu ya Tanzania.
ni mbinu ya kisaikolojia lakini watapigwa vibayaMabingwa wa Zambia power Dynamo wasema kwa hapa Tanzania hakuna timu ambayo wanaiogopa kukutana nayo kama Yanga
Ila kwakuwa wamebahatika kukutana na Simba [emoji250][emoji250] .......basi Simba wajiandae kichapo.....maana watapigwa tu
NB: Nini maoni Yako kwenye hiliView attachment 2766087
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umenichekesha sana aiseeHata Horoya walisema hawaiogopi Simba, wakala 7-0. Na Yanga nao kwa Simba walikula 5-0 (ushahidi wa video upo)