Power Dynamo wasema wanaiogopa zaidi Yanga Tanzania

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Mabingwa wa Zambia power Dynamo wasema kwa hapa Tanzania hakuna timu ambayo wanaiogopa kukutana nayo kama Yanga

Ila kwakuwa wamebahatika kukutana na Simba [emoji250][emoji250] .......basi Simba wajiandae kichapo.....maana watapigwa tu

NB: Nini maoni Yako kwenye hili
1695975423242.jpg
 
Hata Horoya walisema hawaiogopi Simba, wakala 7-0. Na Yanga nao kwa Simba walikula 5-0 (ushahidi wa video upo)
 
NB: Nini maoni Yako kwenye hiliView attachment 2766087
ni mbinu ya kisaikolojia lakini watapigwa vibaya
 
Hata Horoya walisema hawaiogopi Simba, wakala 7-0. Na Yanga nao kwa Simba walikula 5-0 (ushahidi wa video upo)
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umenichekesha sana aisee
 
Back
Top Bottom