Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Mabingwa wa Zambia power Dynamo wasema kwa hapa Tanzania hakuna timu ambayo wanaiogopa kukutana nayo kama Yanga
Ila kwakuwa wamebahatika kukutana na Simba [emoji250][emoji250] .......basi Simba wajiandae kichapo.....maana watapigwa tu
NB: Nini maoni Yako kwenye hili
Ila kwakuwa wamebahatika kukutana na Simba [emoji250][emoji250] .......basi Simba wajiandae kichapo.....maana watapigwa tu
NB: Nini maoni Yako kwenye hili