Power Dynamo wasema wanaiogopa zaidi Yanga Tanzania

Mabingwa wa Zambia power Dynamo wasema kwa hapa Tanzania hakuna timu ambayo wanaiogopa kukutana nayo kama Yanga

Ila kwakuwa wamebahatika kukutana na Simba [emoji250][emoji250] .......basi Simba wajiandae kichapo.....maana watapigwa tu

NB: Nini maoni Yako kwenye hiliView attachment 2766087
hawa hawaijui simba ikiwa nyumbani, watapigwa kama hawana akili nzuri.
 
Mabingwa wa Zambia power Dynamo wasema kwa hapa Tanzania hakuna timu ambayo wanaiogopa kukutana nayo kama Yanga

Ila kwakuwa wamebahatika kukutana na Simba [emoji250][emoji250] .......basi Simba wajiandae kichapo.....maana watapigwa tu

NB: Nini maoni Yako kwenye hiliView attachment 2766087
Hivi kwanini yanga mnaiigopa SIMBA kiasi hiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom