Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hawa hawaijui simba ikiwa nyumbani, watapigwa kama hawana akili nzuri.Mabingwa wa Zambia power Dynamo wasema kwa hapa Tanzania hakuna timu ambayo wanaiogopa kukutana nayo kama Yanga
Ila kwakuwa wamebahatika kukutana na Simba [emoji250][emoji250] .......basi Simba wajiandae kichapo.....maana watapigwa tu
NB: Nini maoni Yako kwenye hiliView attachment 2766087
Mpaka kwenye utumbo ule unaotokeza hadi nje!Utoto raha sana. Aliyeanzisha uzi huu hakika ni mtoto mdogo bado ananuka maziwa mdomoni
Vipi kuhusu Yanga?Horoya ni maji maji mtupu
Na yanga aliyekula 5 je? Ni cosmopolitan au? Kumbuka ushahidi wa video upoHoroya ni maji maji mtupu
Wale wakigoma watakuwa wachawi tuMimi nimekaa zangu kimyaa! Nasubiria tu mechi kati ya simba vs Mashujaa!!
Wanaanza kuleta mambo kama Yakina kaligraph jons
Kumbe mlikula 5, poleniAchana na history mzee
Hivi kwanini yanga mnaiigopa SIMBA kiasi hikiMabingwa wa Zambia power Dynamo wasema kwa hapa Tanzania hakuna timu ambayo wanaiogopa kukutana nayo kama Yanga
Ila kwakuwa wamebahatika kukutana na Simba [emoji250][emoji250] .......basi Simba wajiandae kichapo.....maana watapigwa tu
NB: Nini maoni Yako kwenye hiliView attachment 2766087
Kuna jamaa aliwahi kusema unajichomeka dole halafu unachomoa na kunusa!