Power Mabula: Mtu aliyetikisa enzi zake!

Kabisa hiyo naongelea pale uwanja wa shule Tabora town school 1981 hivi
Uko sahihi ni miaka hiyo nakumbuka ilidondoka ndege ya kivita pale uwanja wa taifa wa zamani Dar, ilikuwa parade sikukuu ya mashujaa,alikuwepo pale...
 
I knew him personally and I always have a story to tell about him.

You can hit me up whenever is convenient for you and I'll be glad to share it with you.

He is the source of my lifelong passion.
Uncle Juju mbona mimi hujanihadithia kumhusu.
 
Niambie kwanza....mshikaji wangu yupo au hayupo? [emoji3][emoji6]
Mshkaji wako yupo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] leo nimempa wali maharage kakataa anauliza "mama mbona hakuna mchuzi" nilicheka sana.
 

Umetaja jina la Manjunju, Kuna mtaa Huku kahama unaitwa “Mzee Maanjunju” kunaweza kukawa na uhusiano wa Jina hilo na huo mtaa ??
 
Aisee huyu jamaa alivuma sana miaka ya 80 but sadly I never got to see him. Kulikuwepo na story kibao kuhusu uwezo wake wa nguvu za misuri, mambo kibao yaliongelewa, mfano:

-- Alikuwa anaweza kunywa kreti nzima ya soda kwa mkupuo...
Power mabula enzi zake. Ila kwa story za waliomwona wanasema alikuwa hadi lori linamkanyaga.

Anavuta trekta kwa nywele zake maana anarasta napia sio tu hivyo hadi magari yeyote yale mazito ogopa fuso imejaa mchanga anaivuta au inamkanyaga naanaamua kuitingisha mara anaiangusha
 
King'ast mpaja wako kwenye avatar unaonyesha wewe si mbibi ni mdada
 
Miaka ya 80 mwishoni niliona shoo yake, aliweka mkono chini gari likapita juu ya mkono
 
Enzi hizo za mazingaombwe kulikua na
Power Mabula-akivuta gari kwa meno
Profesa Eyesu yeye hana ubabe
Weka makaratasi kwenye chungu inageuka dolale🙃😆😆😁
Hawa watu wako wapi?

Wakongwe jazieni hapo
 
Enzi hizo za mazingaombwe kulikua na
Power Mabula-akivuta gari kwa meno
Profesa Eyesu yeye hana ubabe
Weka makaratasi kwenye chungu inageuka dolale🙃😆😆😁
Hawa watu wako wapi?

Wakongwe jazieni hapo

ipo mada yake humu ndani. ngoja nikutafutie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…