Power Mabula: Mtu aliyetikisa enzi zake!

Power Mabula: Mtu aliyetikisa enzi zake!

Ilikuw inafurahisha sana, nkikumbuka shule tulivokuw tukichangishwa kumuona huyu jamaa
 
JF siku hizi imevamiwa na watoto wengi wa 90's wasiowajua hao watu! Hawajawahi hata kumwona Joyce wowowo, wasiijua hata TOKELO ilimradi shaghala baghala.
 
Da namkumbuka sana power Mabula miaka ya 80's-90's,alikuwa anatisha sana lakini alichokuwa anafanya ni Illusion tu (Kiini Macho).

Breaking the Magician's Code: Magic's Biggest Secrets Finally Revealed.


hii naijua
 
Copped ten sold five then I hide three
Baking soda residue I'm gone with the other two
Fvck a magic stick Jeezy got a magic wrist
David Copperfield on the stove all types of sh!t.-----Young Jeezy
Juelz Santana
 
Ni kweli huyo jamaa, alikuwa na nguvu kweli kweli, nasikia alikuwa ni mtu wa Musoma, Mara uko...! Hayo ni mambo ambayo kweli alikuwa anafanya, na alikuwa ana uwezo wa kunywa chupa za orange squash
Niliposoma tu neno "Orange squash" nikakumbuka kisha cha mama Liundi na watoto wake.
 
Back
Top Bottom