Pozi za 'hatare' za Lady Jaydee

Mbona sijaona hicho kiuno kama cha ray c au bado hujatuma picha zingine?
 
kumbe huyu ndo jide mupya??
kweli mupya embu mwenye yule jide wa miaka ileeeee nijikumbushie
 
Hivi kweli jamani.....TZ nzima hakuna mwanaume RIJALI wa kumpachika mimba huyu Jideee jamani....maana nasikia amehangaika vya kutosha lakini mambo bado bila bila...na sasa ndio ameshafika saa 11 jioni....hivi hakuna wa kumsaidia kweli?? Kama vipi naomba mtu wa kuniunganisha nae ili nimpe japo mtoto mmoja tu maana hilo lipo ndani ya uwezo wangu.....hata kama atasema akishika mimba tu nisimjueee its' OK lakini ni bora awe na mtoto amfairiji na kumondolea stress.....any one to connect me with her pleasee
 


Ndo mana wahenga wakasema kosea vyote ila usikosee kuoa au kuolewa matokeo yake ndo tunayaona kwa jide ni dhairi kabisa kwamba Gardener alikuwa anampa stress Dada wa watu.. Kuna mijanaume mingine ni stress tupuu[emoji57] Ona sasa alivokuwa mcharoo
Nampenda sana huyu Mdada mpaka basi
#huumchezohautakihasira.. NDINDINDINDI[emoji4] [emoji4] Mtaziogaaa
 
mbona unamshambulia bw Abash!!! Siri ya ndoa si wanaijua wanandoa wenyewe?

Usihukum, usije ukahukumiwa ndugu, siri ya nani mkorofi wanaijua wao 2.
 
Naona kitu kimeumuka NDINDINDI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…