Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazma awe hivyo si hajanyonyesha......!!Kifua chake c haba,manshallah!
Hahahaaa umeonaeeeAnazidi kunenepeana tu......
Labda kapata mwanaume anaemkuna haswaa... mana mapenzi nayo yanaweza kukupa stress hatari
Naona kitu kimeumuka NDINDINDI.![]()
Ndo mana wahenga wakasema kosea vyote ila usikosee kuoa au kuolewa matokeo yake ndo tunayaona kwa jide ni dhairi kabisa kwamba Gardener alikuwa anampa stress Dada wa watu.. Kuna mijanaume mingine ni stress tupuu[emoji57] Ona sasa alivokuwa mcharoo
Nampenda sana huyu Mdada mpaka basi
#huumchezohautakihasira.. NDINDINDINDI[emoji4] [emoji4] Mtaziogaaa
Unamaanisha kitandani sioAnazidi kunenepeana tu......
Labda kapata mwanaume anaemkuna haswaa... mana mapenzi nayo yanaweza kukupa stress hatari
Unamaanisha kitandani sio