Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Ila bado Ana mvutoAna miaka 20 na ngapi?
Tupe Link mkuu ya chanzo chako cha habari yako!mbona kuna hbr kuwa jide yeye ndo alilazimisha ndoa....
Hivi kunenepa ndio siri ya mafanikio au kuridhika? Basi kama ndio mnavyoamini mtaingia sana mikenge kwa watumiaji wa ARV ambazo zimewapenda.Anazidi kunenepeana tu......
Labda kapata mwanaume anaemkuna haswaa... mana mapenzi nayo yanaweza kukupa stress hatari
Mkuu huyu ni dada au mbibi[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Namkubali sana huyu dada. Mungu aendelee kumpigania apate Mume mwema.
Hahahaaaaaa ni dada kwa sbb hajaolewaMkuu huyu ni dada au mbibi[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hakuna outsider mwenye uwezo wa kujuwa tatizo halisi la wanandoa, wote tuna mahusiano ni rahisi kuyaongelea ya wenzetu lakini ya kwetu wenyewe kumbe ndio balaa tupu.Oh kwa hiyo kwenye uhusiano wao mkosaji alikuwa Gardner tu?
Pia, hata kunenepa inaweza kuwa ni dalili ya msongo wa mawazo vile vile.
Ni dhana potofu kabisa kuwa ukiwa slim basi una matatizo na ukiongezeka kilo huna matatizo/ msongo.
Hivi kunenepa ndio siri ya mafanikio au kuridhika? Basi kama ndio mnavyoamini mtaingia sana mikenge kwa watumiaji wa ARV ambazo zimewapenda.
Mkuu huyu ni dada au mbibi[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mpwa kizuri kula na nduguyo, kibaya ndio msukumie jirani, mpwa nakuja sana changa....... Kwa Jimmy kirauli kula mdudu sikuoni online.Mpwa hujambo.......
Mpwa kizuri kula na nduguyo, kibaya ndio msukumie jirani, mpwa nakuja sana changa....... Kwa Jimmy kirauli kula mdudu sikuoni online.
Karibu mpaka sebuleni na usipojali chumbani kabisa.haaa Mpwa inakuwaje unakuja hunishtui Mpwa, tule wote hivo vizuri
ngoja nikufate Pm mpwa....
Bado bikra huyu.huyu binti nilianza kumsikia siku nyingi sana sijui ameshafikisha miaka 19
Karibu mpaka sebuleni na usipojali chumbani kabisa.
Sio utani na myimbo zika tungwa.mbona kuna hbr kuwa jide yeye ndo alilazimisha ndoa....