ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
na mm niko kundi gani bestito hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaSisi watu wazima tunaweza kuona mpaka visivyo onekana kwa macho.....ndio maana wahenga wakanena kuwa utu uzima dawa......
Mkuu huyu ni dada au mbibi[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Bas nin mkuu!Nampendaga huyu dada ila basi tu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nawe ni kaka au mbabuuuu...😀😀😀..nauliza tuuuu
ahahaha wape vidonge vyao hao, hawampati jide ng'ooUkiwa na pesa huzeeki.poleni maskini kuna staili mnapenda muwe lkn haiwezekani.
Huyo gadna wako alikuwa goi goi tu huyo mwana mama mbona anaonekana mtamu tuGadna alikuwa mvumilivu sana,
Mtizame kwa makini kidogo kisha vuta hisia akianza ubishi anafananaje!!!!
Ni mtizamo wangu na sii lazima ulandane na wako.
Mpaka uvute hisia sanaaaa!!!!Huyo gadna wako alikuwa goi goi tu huyo mwana mama mbona anaonekana mtamu tu
Jidee wa kawaida sana inaonekana aliumia sana kumwacha GadnerMpaka uvute hisia sanaaaa!!!!
Ilibidi jamaa awe anapiga watumishi wao (waiter) kwa jinsi Jd asivyovutia/hamasisha.
Hahahahahaha kweli bhana yaan mtu ukimwona live utasema sio yeye wa kule mitandaonHizi 'foto shopu' na 'camera 360' itakuja kufanya watu wabishane sio wewe pindi wakikuona live!
Ukiona hivyo ujue we ni goi goi tuMpaka uvute hisia sanaaaa!!!!
Ilibidi jamaa awe anapiga watumishi wao (waiter) kwa jinsi Jd asivyovutia/hamasisha.
Kijeba kweli kweli kakomaa mpaka damu na hadi choo chake kina misuli.Huyo bibi kizee ana F ya shape D ya sura B ya majigambo na A ya kuona mwanaume si lolote si chochote
Kama anapuliza moto!
Nimeipenda hii, hair style pia nzuri