Pozi za 'hatare' za Lady Jaydee

Pozi za 'hatare' za Lady Jaydee

sasa ndo apate na mtoto hapo, itakua ni world news bt dah
 
Beauty lies in the eyes of the beholder! She knocks me, sijawah kuacha kumkubal wala simjudge kwa personal life yake, napenda sana kaz zake... ndi...ndi...ndi...
 
Gadna alikuwa mvumilivu sana,
Mtizame kwa makini kidogo kisha vuta hisia akianza ubishi anafananaje!!!!

Ni mtizamo wangu na sii lazima ulandane na wako.
Huyo gadna wako alikuwa goi goi tu huyo mwana mama mbona anaonekana mtamu tu
 
Huyo gadna wako alikuwa goi goi tu huyo mwana mama mbona anaonekana mtamu tu
Mpaka uvute hisia sanaaaa!!!!
Ilibidi jamaa awe anapiga watumishi wao (waiter) kwa jinsi Jd asivyovutia/hamasisha.
 
Hizi 'foto shopu' na 'camera 360' itakuja kufanya watu wabishane sio wewe pindi wakikuona live!
 
Pozi unazoita za hatari ziko wapi hapo? We utakuwa tu ume katiwa mzigo kurusha watu roho.
 
1461130418774-jpg.340886

Nimeipenda hii, hair style pia nzuri
Kama anapuliza moto!
 
Back
Top Bottom