Cornestone
Member
- Jun 26, 2025
- 20
- 5
Kwa jinsi tunavyokwenda? Hatufiki mbali, wakati wa JM tulikuwa uchumi wa chini kati (Low middle income) Sasa hivi tupo LOW INCOME tumeshindwa na nchi nyingi......Hata Zambia?Moja ya shabaha kuu iliowekwa na Dira 2050 ni kuhakikisha kuwa ifikapo mwaka 2050 Taifa letu liwe limetokomeza kabisa umasikini uliokithiri, ambapo kwa mujibu ripoti ya Benki ya Dunia (2025) Asilimia 26 ya watanzania linaishi katika kundi hili,
Miongoni mwa vichocheo vinavyoweza kuharakisha mageuzi ya kiuchumi katika kufikia shabaha ya uchumi wa kati ngazi ya juu ni usafirishaji fungamanishi.
Rais Samia amejenga msingi wa kuifikisha nchi kwenye uchumi wa kati ngazi ya huu kupitia uwekezaji wa ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi PPP katika bandari ya Dar es Salaam ambapo gharama za uendeshaji wa bandari kwa mwezi umeshuka kutakaTZS 262bn mpaka TZS166bn.
Pia muda wa meli kutia nanga bandari ya Dar es salaam umepungua kutoka siku 46 hadi siku 7 ambaimeongeza mapato kufikia trilioni moja kwa mwezi.
Samia anaturudisha nyuma. Akiendelea kwa miaka mitano ijayo tutakuwa failed state, kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe kama DRC.Kwa jinsi tunavyokwenda? Hatufiki mbali, wakati wa JM tulikuwa uchumi wa chini kati (Low middle income) Sasa hivi tupo LOW INCOME tumeshindwa na nchi nyingi......Hata Zambia?
Moja ya shabaha kuu iliowekwa na Dira 2050 ni kuhakikisha kuwa ifikapo mwaka 2050 Taifa letu liwe limetokomeza kabisa umasikini uliokithiri, ambapo kwa mujibu ripoti ya Benki ya Dunia (2025) Asilimia 26 ya watanzania linaishi katika kundi hili,