Dr. Mwigulu Nchemba, jitokeze utuambie ni kwanini Tanzania imerudishwa kwenye kundi la nchi zenye uchumi duni?

Nyasi-Man

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2023
Posts
1,003
Reaction score
2,236
Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) – Ripoti ya 2025 Mtazamo wa Kiuchumi wa Kanda: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara limeiweka Tanzania kwenye orodha ya Nchi Masikini Zaidi Duniani (LDC).
Screenshot 2025-10-22 072822.png

Serikali ya CCM na chawa wenu mnajinasibu uchumi unakua kwa kasi wakati Watanzania tunashuhudia uwekezaji mdogo katika rasilimali watu, ukandamizaji wa demokrasia, utegemezi wa kilimo chenye tija ndogo, miundombinu duni, ukosefu wa ajira bora kwa vijana, mazingira magumu ya biashara, mfumuko wa bei, deni la taifa linaloongezeka, na utekelezaji dhaifu wa sera na mipango ya maendeleo.

Nini maoni yako mwana jamvi?
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Huyo mtu alishatumbuliwa wakati wa Magu, kwa uwezo mdogo. Sasa mama akamrudisha matokeo ni uchumi kuporomoka kutoka $89b mpaka $87b.
Per capital kuporomoka kutoka $1300+ to $1100. Cha kusikitisha vyombo vya habari viko kimya. Hakuna hata kiongozi mwenye uwezo wa kuhoji. Wakati report za IMF ziko wazi

Nchi ina inflations za kufa mtu sasa.
Uchumi unaporomoka toka 2022 na population inapanda kwa kasi.

Yaan tunapitwa vinchi kama ghana, ivory coast, angola. Nk.
Kenya hao ndo hawakamatika wana GDP ya $136b wanakaribia mara mbili. Uchumi wa kenya uko imara kwa sababu wako cashless. Unaishi miaka kenya hujawahi oná hiyo noti yao. Malipo ni kwa Simu tu. Sio kama sisi watu wananua viwanja vya million 10 wanalipa cash. Sisi hatutaki Lipa kwa Simu kuwalinda mafisadi na makampuni ya Simu na Tozo zao. Ukilipa kwa Simu kwa 25000k unakata 2000 kabisa. Na hakuna hata mbunge wa kusema au Waziri wakuzungumzia hii issue inavyodumaza uchumi.

Tunashindwa nini sisi kuwaiga wakenya. Ambayo transaction zao zote zinajulika hivyo kujumuishwa kwenye GDP yao?
 
Nchi yetu haina future tena. Acha tu Waafrika wengine wenye akili watunyooshe kwenye uchumi
Watu wengi tumeikatia tamaa.

Mimi nilikuwa mzalendo kweli. Ila kwa hali hii ya kutojari na kupuuzia professionalism na kukumbatia uchawa na undugu.
Nimestaafu kufuatilia mambo ya nchi hadi hapo nchi itakapopata viongozi bora

Tanzania ni ya kupitwa na vinchi kama Ghana, Ivory coast Angola?

Tanzania ingeendelea na kasi yake iliyokuwa nayo wakati wa Mpango akiwa Waziri wa fedha. Sasa tungekuwa na GDP ya $100+b huko. Lakin cha ajabu tumeshuka toka $89b to $87b

Tunaenda kuwa kama Congo DRC, kubwa jinga lenye masikini wa kutupwa
 
Umeeleza vyema sana mkuu, nchi yetu inasikitisha sana hakuna credibility tena kwenye uongozi, uchumi wetu unaendeshwa kiholela na hakuna caution wala consistency mahala popote. Media zote hawajadili tena masuala muhimu ya nchi wamebaki kusifia watawala wanaoharibu uchumi wa nchi. Hali inaenda kuwa mbaya sana, muda utaongea.
 
Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) – Ripoti ya 2025 Mtazamo wa Kiuchumi wa Kanda: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara limeiweka Tanzania kwenye orodha ya Nchi Masikini Zaidi Duniani (LDC).
View attachment 3491713
Serikali ya CCM na chawa wenu mnajinasibu uchumi unakua kwa kasi wakati Watanzania tunashuhudia uwekezaji mdogo katika rasilimali watu, ukandamizaji wa demokrasia, utegemezi wa kilimo chenye tija ndogo, miundombinu duni, ukosefu wa ajira bora kwa vijana, mazingira magumu ya biashara, mfumuko wa bei, deni la taifa linaloongezeka, na utekelezaji dhaifu wa sera na mipango ya maendeleo.

Nini maoni yako mwana jamvi?
Pascal Mayalla huna namba ya nchema tu tag hapa atupe ufafanuzi masuala haya
 
Watu wengi tumeikatia tamaa.

Mimi nilikuwa mzalendo kweli. Ila kwa hali hii ya kutojari na kupuuzia professionalism na kukumbatia uchawa na undugu.
Nimestaafu kufuatilia mambo ya nchi hadi hapo nchi itakapopata viongozi bora

Tanzania ni ya kupitwa na vinchi kama Ghana, Ivory coast Angola?

Tanzania ingeendelea na kasi yake iliyokuwa nayo wakati wa Mpango akiwa Waziri wa fedha. Sasa tungekuwa na GDP ya $100+b huko. Lakin cha ajabu tumeshuka toka $89b to $87b

Tunaenda kuwa kama Congo DRC, kubwa jinga lenye masikini wa kutupwa
Kabisa inakatisha sana tamaa kwakweli, wataalamu hawana thamani tena nchini na hii hata inapunguza molali ya vijana wetu wengi walioko mashuleni kuweka juhudi kwenye masomo yao kwa kuamini zaidi kwenye uchawa.
 
Watu wengi tumeikatia tamaa.

Mimi nilikuwa mzalendo kweli. Ila kwa hali hii ya kutojari na kupuuzia professionalism na kukumbatia uchawa na undugu.
Nimestaafu kufuatilia mambo ya nchi hadi hapo nchi itakapopata viongozi bora

Tanzania ni ya kupitwa na vinchi kama Ghana, Ivory coast Angola?

Tanzania ingeendelea na kasi yake iliyokuwa nayo wakati wa Mpango akiwa Waziri wa fedha. Sasa tungekuwa na GDP ya $100+b huko. Lakin cha ajabu tumeshuka toka $89b to $87b

Tunaenda kuwa kama Congo DRC, kubwa jinga lenye masikini wa kutupwa
Acha tu, hata mimi nilikuwa mzalendo sana. Sasahivi inabidi niache kufuatilia haya mambo ya nchi. Yanaumiza sana kwa kweli, ngoja nifuatilie tu mada za technology, vitu vyangu ninavyovipenda
 
Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) – Ripoti ya 2025 Mtazamo wa Kiuchumi wa Kanda: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara limeiweka Tanzania kwenye orodha ya Nchi Masikini Zaidi Duniani (LDC).
View attachment 3491713
Serikali ya CCM na chawa wenu mnajinasibu uchumi unakua kwa kasi wakati Watanzania tunashuhudia uwekezaji mdogo katika rasilimali watu, ukandamizaji wa demokrasia, utegemezi wa kilimo chenye tija ndogo, miundombinu duni, ukosefu wa ajira bora kwa vijana, mazingira magumu ya biashara, mfumuko wa bei, deni la taifa linaloongezeka, na utekelezaji dhaifu wa sera na mipango ya maendeleo.

Nini maoni yako mwana jamvi?
Walizoea takwimu za kupika
 
Back
Top Bottom