- Thread starter
- #21
Na kukatisha tamaa kabisa, hakuna tena uzalendoHali ya Nchi inasikitisha sana.
Na kukatisha tamaa kabisa, hakuna tena uzalendoHali ya Nchi inasikitisha sana.
Umeongea Professionalism, sawa kabisa, mie nilishangaa huyu mwamba (Nchemba) hata experience kwenye institute yoyote ya fedha hajawahi kufanya kazi, Chuo kikuu, Mbunge, Waziri, na hiyo PhD kasoma yupo Wizarani. Makubwa haya. Na yule BOT sijui kaokotwa wapi!!!Watu wengi tumeikatia tamaa.
Mimi nilikuwa mzalendo kweli. Ila kwa hali hii ya kutojari na kupuuzia professionalism na kukumbatia uchawa na undugu.
Nimestaafu kufuatilia mambo ya nchi hadi hapo nchi itakapopata viongozi bora
Tanzania ni ya kupitwa na vinchi kama Ghana, Ivory coast Angola?
Tanzania ingeendelea na kasi yake iliyokuwa nayo wakati wa Mpango akiwa Waziri wa fedha. Sasa tungekuwa na GDP ya $100+b huko. Lakin cha ajabu tumeshuka toka $89b to $87b
Tunaenda kuwa kama Congo DRC, kubwa jinga lenye masikini wa kutupwa
Tanzania imekuwa ya ajabu iseeShirika la Fedha la Kimataifa (IMF) – Ripoti ya 2025 Mtazamo wa Kiuchumi wa Kanda: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara limeiweka Tanzania kwenye orodha ya Nchi Masikini Zaidi Duniani (LDC).
View attachment 3491713
Serikali ya CCM na chawa wenu mnajinasibu uchumi unakua kwa kasi wakati Watanzania tunashuhudia uwekezaji mdogo katika rasilimali watu, ukandamizaji wa demokrasia, utegemezi wa kilimo chenye tija ndogo, miundombinu duni, ukosefu wa ajira bora kwa vijana, mazingira magumu ya biashara, mfumuko wa bei, deni la taifa linaloongezeka, na utekelezaji dhaifu wa sera na mipango ya maendeleo.
Nini maoni yako mwana jamvi?
Hawezi maana kuna full report tutamuumbua nayoChoiceVariable a.k.a the sunken fallacy 2. Kaokoteze vitwita vyk uje kutetea Basha ako
Wametuweka kundi la resource intensive countries, nchi zenye rasilimali nyingi sana lakini tumezizidi nchi zile tu zenye hali tete, vita vya wenyewe kwa wenyewe na migogoro ya kiuchumi na kisiasa tu.Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) – Ripoti ya 2025 Mtazamo wa Kiuchumi wa Kanda: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara limeiweka Tanzania kwenye orodha ya Nchi Masikini Zaidi Duniani (LDC).
View attachment 3491713
Serikali ya CCM na chawa wenu mnajinasibu uchumi unakua kwa kasi wakati Watanzania tunashuhudia uwekezaji mdogo katika rasilimali watu, ukandamizaji wa demokrasia, utegemezi wa kilimo chenye tija ndogo, miundombinu duni, ukosefu wa ajira bora kwa vijana, mazingira magumu ya biashara, mfumuko wa bei, deni la taifa linaloongezeka, na utekelezaji dhaifu wa sera na mipango ya maendeleo.
Nini maoni yako mwana jamvi?
Absolutely mkuuWametuweka kundi la resource intensive countries, nchi zenye rasilimali nyingi sana lakini tumezizidi nchi zile tu zenye hali tete, vita vya wenyewe kwa wenyewe na migogoro ya kiuchumi na kisiasa tu.
Sababu kuu ufisadi, kutawaliwa na mtu asiye na uwezo hata kiduchu.
Kipaumbele chake pekee na kwanini anangangania hiyo nafasi ni ili kuhamisha rasilimali, mali, kodi za Watanganyika kwenda kwenye familia yake, Zanzibar na Uarabuni.
Nchemba yeye kipaumbele chake ni tumbo lake. Mpango alikuwa na hofu ya Mungu na kujali Tanganyika alipokuwa waziri wa Fedha chini ya Rais mzalendo.
Kwa hali ya sasa. No future in Tanzania.Umeongea Professionalism, sawa kabisa, mie nilishangaa huyu mwamba (Nchemba) hata experience kwenye institute yoyote ya fedha hajawahi kufanya kazi, Chuo kikuu, Mbunge, Waziri, na hiyo PhD kasoma yupo Wizarani. Makubwa haya. Na yule BOT sijui kaokotwa wapi!!!
Kuna wabobezi wengi mno wameachwa nje-mtaani, kuna post huwezi kuzi-politicize hata kidogo, kama BOT na Wizara ya fedha.
Hofu yangu kubwa ni hiyo 2026, mambo yatakuaje kama siyo ku-print pesa kama alivyosema Yule Mdada msela wa LA.
ChoiceVariable njoo hapa umtetee maza ako na MwiguluHawezi maana kuna full report tutamuumbua nayo
Watakuja kuteka waseme unazuwa taharuki hizi habari hawazitaki kabisaShirika la Fedha la Kimataifa (IMF) – Ripoti ya 2025 Mtazamo wa Kiuchumi wa Kanda: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara limeiweka Tanzania kwenye orodha ya Nchi Masikini Zaidi Duniani (LDC).
View attachment 3491713
Serikali ya CCM na chawa wenu mnajinasibu uchumi unakua kwa kasi wakati Watanzania tunashuhudia uwekezaji mdogo katika rasilimali watu, ukandamizaji wa demokrasia, utegemezi wa kilimo chenye tija ndogo, miundombinu duni, ukosefu wa ajira bora kwa vijana, mazingira magumu ya biashara, mfumuko wa bei, deni la taifa linaloongezeka, na utekelezaji dhaifu wa sera na mipango ya maendeleo.
Nini maoni yako mwana jamvi?
Tunataka a-prove huo ubobevu wake......sisi tunajua kuwa ni ndezi tu.Hakuna mchumi mbobezi hapo labda "mchumi ndezi".
Tunataka a-prove huo ubobevu wake......sisi tunajua kuwa ni ndezi tu.
Sana ila wengi hawalioni hili jambo hasa CCM wengi walifumbwa macho na itikadi masilahi na kusahau kulipambania taifa lao.Kwa hali ya sasa. No future in Tanzania.
Miaka hii mitano ijayo ya mama, hali ikizidi kuwa hiv.vijana wengi wakitanzania watakimbia nchi kama ilivyokuwa miaka ya mwinyi.
Wengi walianza kurudi wakati wa Magu. But sasa wamerudi nyuma tena.
Hali ya Tanzania kiuchumi inasikitisha sana.
2030 tunaweza kuwa among top 5 poorest countries in Africa, maana population inaongezeka na GDP haiongezeki. Hivyo per capita inashuka. Tushapitwa na Uganda kwa per capita na soon Rwanda anatupita