kutegemea resources ni uvivu wa kuendesha nchi, utajiri unatokana na nguvu kazi ya mwananchi mmoja mmojaLakini mbona nchi yetu ina resources sana; Au watu weusi hatuna akili au shida nini jamani
Mpango alikua vizuri sanaWatu wengi tumeikatia tamaa.
Mimi nilikuwa mzalendo kweli. Ila kwa hali hii ya kutojari na kupuuzia professionalism na kukumbatia uchawa na undugu.
Nimestaafu kufuatilia mambo ya nchi hadi hapo nchi itakapopata viongozi bora
Tanzania ni ya kupitwa na vinchi kama Ghana, Ivory coast Angola?
Tanzania ingeendelea na kasi yake iliyokuwa nayo wakati wa Mpango akiwa Waziri wa fedha. Sasa tungekuwa na GDP ya $100+b huko. Lakin cha ajabu tumeshuka toka $89b to $87b
Tunaenda kuwa kama Congo DRC, kubwa jinga lenye masikini wa kutupwa
Waliotakiwa kua jela ndo wako Uraiani na ambao walitakiwa wawe uraiani wako jela Tunapoteza watu wa maana kisa siasa uchwaraUkiwa na akili huwezi kupata nafasi ya kuongoza Watanzania,
Ndio maana ukiwa kiongozi hata darasa la saba utapewa PhD, unajikuta unaitwa Dr Tale,
Resources ndo kila kitu usitake kudanganya watu hapa nyie ndo mnandanganya mama watu wa aina yenu ndo wa kufukuza CCM angalia nchi kama Angola tunaona Rwanda anavyoivuruga Congo kisa Madini alafu unasema resources sio muhimukutegemea resources ni uvivu wa kuendesha nchi, utajiri unatokana na nguvu kazi ya mwananchi mmoja mmoja
Serikali ilitakiwa kuweka miundombinu na mazingira rafiki kwa kuanzisha biashara na kufanya biashara.kutegemea resources ni uvivu wa kuendesha nchi, utajiri unatokana na nguvu kazi ya mwananchi mmoja mmoja
Upuuzi wa hali ya juu. Mabango yote ya nini wakati huna mpinzani, umewazuia wapinzani wote wasishiriki chaguzi. Tume anailekeza tu iseme ameshinda kwa asilimia yoyote atakayoipenda.
Ana maswali mazito ya kumtwanga Gavana wa benki kuu,anasubiria uchaguzi upite.Pascal Mayalla huna namba ya nchema tu tag hapa atupe ufafanuzi masuala haya
Kabisa kakaSerikali ilitakiwa kuweka miundombinu na mazingira rafiki kwa kuanzisha biashara na kufanya biashara.
Vitu kama Elimu bure, bima kwa wote, barabara, Internet, umeme, maji, tokomeza rushwa, ufisadi, leseni chapchap, utawala wa sheria, haki za binadamu kuheshimiwa, kodi zinazoeleweka sio za kukomoana ni msingi wa maendeleo.
Haya maajabu yanapatikana Tanzania pekeeUpuuzi wa hali ya juu. Mabango yote ya nini wakati huna mpinzani, umewazuia wapinzani wote wasishiriki chaguzi. Tume anailekeza tu iseme ameshinda kwa asilimia yoyote atakayoipenda.
Halafu wanajisifu wao wenyewe kama matahira fulani
HakikaWaliotakiwa kua jela ndo wako Uraiani na ambao walitakiwa wawe uraiani wako jela Tunapoteza watu wa maana kisa siasa uchwara
Baada ya 5yrs...Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) – Ripoti ya 2025 Mtazamo wa Kiuchumi wa Kanda: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara limeiweka Tanzania kwenye orodha ya Nchi Masikini Zaidi Duniani (LDC).
View attachment 3491713
Serikali ya CCM na chawa wenu mnajinasibu uchumi unakua kwa kasi wakati Watanzania tunashuhudia uwekezaji mdogo katika rasilimali watu, ukandamizaji wa demokrasia, utegemezi wa kilimo chenye tija ndogo, miundombinu duni, ukosefu wa ajira bora kwa vijana, mazingira magumu ya biashara, mfumuko wa bei, deni la taifa linaloongezeka, na utekelezaji dhaifu wa sera na mipango ya maendeleo.
Nini maoni yako mwana jamvi?
Lakini mbona nchi yetu ina resources sana; Au watu weusi hatuna akili au shida nini jamani