Dr. Mwigulu Nchemba, jitokeze utuambie ni kwanini Tanzania imerudishwa kwenye kundi la nchi zenye uchumi duni?

Dr. Mwigulu Nchemba, jitokeze utuambie ni kwanini Tanzania imerudishwa kwenye kundi la nchi zenye uchumi duni?

Mgodi wa makaa ya mawe umeuzwa kwa sh billion 8 na hizo hela zote zimeeenda kununiliwa na v8 mapya mapya unategemea Kuna uchumi kujua hapo

Uchumi wetu utakuwa pale mama Samia atakapouwawa

Full stop
 
Serikali ilitakiwa kuweka miundombinu na mazingira rafiki kwa kuanzisha biashara na kufanya biashara.

Vitu kama Elimu bure, bima kwa wote, barabara, Internet, umeme, maji, tokomeza rushwa, ufisadi, leseni chapchap, utawala wa sheria, haki za binadamu kuheshimiwa, kodi zinazoeleweka sio za kukomoana ni msingi wa maendeleo.
wananchi wakilipa kodi vizuri mbna mambo yote yanawezekana hata umeme bure, utayari wa kulipa kodi ni mdogo sana
 
Resources ndo kila kitu usitake kudanganya watu hapa nyie ndo mnandanganya mama watu wa aina yenu ndo wa kufukuza CCM angalia nchi kama Angola tunaona Rwanda anavyoivuruga Congo kisa Madini alafu unasema resources sio muhimu
kwahio nchi ambayo haina resources ni halali kua maskini si ndio? sometimes shirikisha ubongo, resources inatengeneza sehem ndogo sana ya mapato, nchi ya raia mil 70 kila mttu anategemea mbuga 1 ya wanyama na mlima ndo iwe tajiri?
 
Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) – Ripoti ya 2025 Mtazamo wa Kiuchumi wa Kanda: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara limeiweka Tanzania kwenye orodha ya Nchi Masikini Zaidi Duniani (LDC).
View attachment 3491713
Serikali ya CCM na chawa wenu mnajinasibu uchumi unakua kwa kasi wakati Watanzania tunashuhudia uwekezaji mdogo katika rasilimali watu, ukandamizaji wa demokrasia, utegemezi wa kilimo chenye tija ndogo, miundombinu duni, ukosefu wa ajira bora kwa vijana, mazingira magumu ya biashara, mfumuko wa bei, deni la taifa linaloongezeka, na utekelezaji dhaifu wa sera na mipango ya maendeleo.

Nini maoni yako mwana jamvi?
Imerudishwa??? Ni lini iliwahi kuondoka kwenye Nchi masikini?
 
Mitano tena ,wamejikita zaidi kwenye magenge ya utekaji waacha turudi chini...kin kizigha na kizimkazi na viongozi a juu wanajichotea mabilioni ,fedha zote zipo kwenye kikundi cha watu wachache lazima uchumi udorore.
Kabisa watu wachache wamehodhi pesa na hivyo kuathiri mzunguko wa pesa. Hii mambo ikiendelea tutegemee hali kuwa mbaya zaidi.
 
Kama hata bandari yenu mmeshindwa kupambana mkaiendesha wenyewe, akili zipo hazipo?

Kuipa kipaumbele bandari na mkahakikisha mnawekeza vya kutosha ili kuiendesha wenyewe ni jambo la kushindwa?

Mwendokasi tu kuiendesha imekuwa tatizo, akili zipo au hazipo?

Watu wakipewa nafasi katika utumishi wa umma wanaona ndio nafasi ya ulaji na sio utumishi, na wengine wanaambiwa wale kwa urefu wa kamba zao, wasile mpaka wakavimbiwa, unategemea nini?

Tatizo kubwa la Tanzania ni uwajibikaji, watu wamekalia uchawa kama njia ya kuficha uzembe wao. Mtu aliyekaa pale juu akipenda sana kupambwa na kuhusudu uchawa, usitegemee utendaji wala uwajibikaji.

Nchi yetu haiwezi kupiga hatua yoyote mpaka pale tutakapopata mtu sahihi pale juu, ambaye ataamini katika kuwajibishana bila kujali huyu ni nani, ni mtoto wa nani.
​
Good insight.
 
Back
Top Bottom