PPPC kuvuta mitaji ya $9bn

Mitano tena kwa Mama,
 
Samia kiboko yao
 
Unaeleweka but hakikisheni rasimali za watu mnazilinda vema
 
Mkuu Mia770

Mkapa alifanya Ubinafsishaji lakini Samia anafanya Ubia,
Tofauti ya Ubia na ubinafsi ni kwamba,

Ubinafsishaji umiliki unabadilika
Ubia umiliki haubadiliki
Una uhakika Mkapa hakufanya Ubia ?


Tena kwangu mimi bora kubinafsisha mambo ambayo hatuwezi kufanya mazima mazima kuliko kuwa wabia vitu vikienda belly up ni kodi zetu ndio zinafidia..


Usinielewe vibaya ofcourse PPPs zifanye kazi pale ambapo serikali haina mpango wala uwezo wa kufanya jambo fulani na mtu aje na idea yake ajenge ili mwisho wa siku iwe handed over kwa serikali (mfano barabara fulani ya kwenda huko pasipojulikana mtu anajenga serikali inatoa ardhi na jamaa anapata chache after so many years) baada ya hapo mradi unarudi kwa Serikali..., hata hapo lazima tuwe macho sababu unaweza kuambiwa mradi umepata hasara hivyo eneo kuuzwa kwa bei ya kutupa na wajanja kununua...
 
Tuko wengi sana tu
 
Mkuu hii hoja yako ungeifafanua kidogo naona ni muhimu sana
 
Mkuu hii hoja yako ungeifafanua kidogo naona ni muhimu sana
Sio Hoja yangu mkuu ni vitu ambavyo vipo wazi mkuu ni vya kutafuta na katika suala la PPP's sababu na UMMA ni Mbia hivyo mambo yakienda ndivyo sivyo ni sisi ndio tutalipa (sababu ni wadau)

 
Wewe ni akili kubwa sana
 
PPP inaweza ikaleta mageuzi makubwa sana
 
Lazima Viongozi kujiepusha na rushwa na ufisadi ili kuwa na mikataba yenye tija
 
Mkuu kwanini usiandoke kitabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…