Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mitano tena kwa Mama,View attachment 3152750
Kituo cha Ubia nchini kati ya sekta ya umma na sekta binafsi (PPPC) kimeendesha Mafunzo maalumu kwa kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa( TAMISEMI )
Mafunzo hayo ya siku moja yalilenga kuwajengea uwezo Wahesimiwa Wabunge hao wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano ili kutoa picha pana juu ya muundo na majukumu ya PPP - Cetre hapa Tanzania.
Mambo mengine muhimu ambayo yamejadiliwa katika semina hiyo ni pamoja na umuhimu wa kutumia PPP katika kutekeleza Mipango mbalimbali ya Taifa ya Maendeleo ya nchi, muundo wa kisheria na Kitaasisi katika utekelezaji wa mipango ya PPP Tanzania.
Mambo mengine ambayo yalijadiliwa ni pamoja na dhana ya PPP na Orodha ya miradi ya mbalimbali PPP iliyoandaliwa chini ya Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini.
Mkurugenzi wa PPPC Tanzania Bw. David Kafulila ameiambia kamati hiyo ya Bunge kuwa PPPC inatarajia kuvuta mitaji toka sekta binafsi yenye thamani ya US$9 billion au TZS25 trillioni kwaajili ya Utekelezaji wa miradi midogo ya kati na miradi mikubwa kwa manufaa ya Taifa.
Kwasasa, Tanzania inatekeleza zaidi ya miradi 84 kupitia PPP kwenye nyanja mbalimbali ikiwemo miundombinu , Umeme wa maji pamoja na miradi mbalimbali ya maendeleo endelevu.
David Kafulila ameiambia kamati hiyo ya Bunge kuwa miradi iliyo kwenye mtiririko wa PPP iko katika hatua mbalimbali za kiutekelezaji kama Upembuzi yakinifu, hatua ya kuandaa mikataba, mingine iko katika tathimini, Manunuzi na mingine iko katika hatua ya uandaaji wa maandiko ya miradi.
“Miradi muhimu kama barabara za kulipia toka Kibaha-Chalinze US$340millioni sawa na TZS 888bn pamoja na Ujenzi wa barabara za mzunguko kwa Jiji la Dar es salaam ambazo zitafuta kabisa foleni wenye thamani ya US$1 billioni karibu TZS 2.7trilioni,
Miradi hii yote inaendelea vizuri" alisema Mkurugenzi huyo wa PPP Bw David Kafulila.
Faida kuu kwà PPP ni kuifanya Serikali ya nchi husika iweze kutekeleza miradi yake mbalimbali ya maendeleo kwa faida ya Wananchi wake lakini pasina kutumia Kodi wala tozo toka kwa wananchi wake hivyo kupunguza maumivu ya Kodi na kuisaidia Serikali hiyo iweze kutekeleza miradi mbalimbali ambayo tu haiwezi kuvuta au kuvutia wabia wa PPP.
![]()
PPPC YAENDESHA MAFUNZO KWA KAMATI YA BUNGE YA TAMISEMI
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV KITUO cha Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC) kimeendesha Mafunzo kwa Kamati ya Kudumu ya Bu...www.michuzi.co.tz
NimekuelewaMkuu Mia770
Mkapa alifanya Ubinafsishaji lakini Samia anafanya Ubia,
Tofauti ya Ubia na ubinafsi ni kwamba,
Ubinafsishaji umiliki unabadilika
Ubia umiliki haubadiliki
Samia kiboko yaoView attachment 3152750

Unaeleweka but hakikisheni rasimali za watu mnazilinda vemaView attachment 3152750

Una uhakika Mkapa hakufanya Ubia ?Mkuu Mia770
Mkapa alifanya Ubinafsishaji lakini Samia anafanya Ubia,
Tofauti ya Ubia na ubinafsi ni kwamba,
Ubinafsishaji umiliki unabadilika
Ubia umiliki haubadiliki
Tuko wengi sana tuTanzania tunahitaji watu makini sio Rasilimali kwani Rasilimali tunazo, karibu zote,
Mkapa alikuja na sera hii ya ubinafshaji tuliona matokeo yake
Nataka kujua hii PPP inatofauti gani na ile ya Mkapa?
Abood pale Morogoro anamajengo yetu yeye anafugia Mbuzi wakati kile kilikuwa ni kiwanda
InevertibleSasa kama Kodi kwa mwaka mzima ni 24trilioni na bajeti 55trilioni unadhani Kodi inaweza Kweli kugharamia miradi ya maendeleo?
PPP is inevitable
PPP ni TAKUKURU IliyochangamkaHii ppp inaweza kuwa kichaka Cha ufisadi ndani ya taifa hili,tujipe muda tu
2004 kama sijakoseaKwanini PPP imeanza lini hapa TANZANIA?
Mkuu hii hoja yako ungeifafanua kidogo naona ni muhimu sanaUna uhakika Mkapa hakufanya Ubia ?
PPP's / UBIA sio jambo Jipya Nchini; Wakati tunaingia mazima mazima ni Vema tukaangalia na Matokeo ya huko Nyuma
Binafsi ni Muumini wa Ushindani; ingawa kwenye Huduma ni Vema UMMA ukawa na Umiliki na kama inawezekana UMMA huo ushindane kwenye Soko Huria na Watu Binafsi..., Na Sekta hizo ambazo UMMA ni vema kuwa na UMILIKI ni NISHATI (TANESCO), USAFIRI, MAKAZI (NHC); BANKING na kwa sasa MAWASILIANO (kupitia...www.jamiiforums.com
Tena kwangu mimi bora kubinafsisha mambo ambayo hatuwezi kufanya mazima mazima kuliko kuwa wabia vitu vikienda belly up ni kodi zetu ndio zinafidia..
Why Public Private Partnership Dont Work (The other Side of the Story)
Wakati tunapigia chepuo hii PPP's kwamba ndio magic wand nimeona nilete pdf hapa (report by David Hall) ambayo kwa hoja za mwandishi ni kwamba PPP's zimegubikwa na sintofahamu za kutosha na loopholes za Upigaji na kwa nchi kama yetu ya mafisadi huenda hii ikawa ni kuongezea watu mirija ya...www.jamiiforums.com
Usinielewe vibaya ofcourse PPPs zifanye kazi pale ambapo serikali haina mpango wala uwezo wa kufanya jambo fulani na mtu aje na idea yake ajenge ili mwisho wa siku iwe handed over kwa serikali (mfano barabara fulani ya kwenda huko pasipojulikana mtu anajenga serikali inatoa ardhi na jamaa anapata chache after so many years) baada ya hapo mradi unarudi kwa Serikali..., hata hapo lazima tuwe macho sababu unaweza kuambiwa mradi umepata hasara hivyo eneo kuuzwa kwa bei ya kutupa na wajanja kununua...
Sio Hoja yangu mkuu ni vitu ambavyo vipo wazi mkuu ni vya kutafuta na katika suala la PPP's sababu na UMMA ni Mbia hivyo mambo yakienda ndivyo sivyo ni sisi ndio tutalipa (sababu ni wadau)Mkuu hii hoja yako ungeifafanua kidogo naona ni muhimu sana
Hii ndio inawafanya Wananchi Leo hawaoni haja ya uwekezaji kutokana na hii storia mbayaSio Abood wako wengi wengi wao ni Viongozi wa Serikali
Wewe ni akili kubwa sanaSio Hoja yangu mkuu ni vitu ambavyo vipo wazi mkuu ni vya kutafuta na katika suala la PPP's sababu na UMMA ni Mbia hivyo mambo yakienda ndivyo sivyo ni sisi ndio tutalipa (sababu ni wadau)
Why Public Private Partnership Dont Work (The other Side of the Story)
Wakati tunapigia chepuo hii PPP's kwamba ndio magic wand nimeona nilete pdf hapa (report by David Hall) ambayo kwa hoja za mwandishi ni kwamba PPP's zimegubikwa na sintofahamu za kutosha na loopholes za Upigaji na kwa nchi kama yetu ya mafisadi huenda hii ikawa ni kuongezea watu mirija ya...www.jamiiforums.com
PPP inaweza ikaleta mageuzi makubwa sanaView attachment 3152750
Kituo cha Ubia nchini kati ya sekta ya umma na sekta binafsi (PPPC) kimeendesha Mafunzo maalumu kwa kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa( TAMISEMI )
Mafunzo hayo ya siku moja yalilenga kuwajengea uwezo Wahesimiwa Wabunge hao wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano ili kutoa picha pana juu ya muundo na majukumu ya PPP - Cetre hapa Tanzania.
Mambo mengine muhimu ambayo yamejadiliwa katika semina hiyo ni pamoja na umuhimu wa kutumia PPP katika kutekeleza Mipango mbalimbali ya Taifa ya Maendeleo ya nchi, muundo wa kisheria na Kitaasisi katika utekelezaji wa mipango ya PPP Tanzania.
Mambo mengine ambayo yalijadiliwa ni pamoja na dhana ya PPP na Orodha ya miradi ya mbalimbali PPP iliyoandaliwa chini ya Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini.
Mkurugenzi wa PPPC Tanzania Bw. David Kafulila ameiambia kamati hiyo ya Bunge kuwa PPPC inatarajia kuvuta mitaji toka sekta binafsi yenye thamani ya US$9 billion au TZS25 trillioni kwaajili ya Utekelezaji wa miradi midogo ya kati na miradi mikubwa kwa manufaa ya Taifa.
Kwasasa, Tanzania inatekeleza zaidi ya miradi 84 kupitia PPP kwenye nyanja mbalimbali ikiwemo miundombinu , Umeme wa maji pamoja na miradi mbalimbali ya maendeleo endelevu.
David Kafulila ameiambia kamati hiyo ya Bunge kuwa miradi iliyo kwenye mtiririko wa PPP iko katika hatua mbalimbali za kiutekelezaji kama Upembuzi yakinifu, hatua ya kuandaa mikataba, mingine iko katika tathimini, Manunuzi na mingine iko katika hatua ya uandaaji wa maandiko ya miradi.
“Miradi muhimu kama barabara za kulipia toka Kibaha-Chalinze US$340millioni sawa na TZS 888bn pamoja na Ujenzi wa barabara za mzunguko kwa Jiji la Dar es salaam ambazo zitafuta kabisa foleni wenye thamani ya US$1 billioni karibu TZS 2.7trilioni,
Miradi hii yote inaendelea vizuri" alisema Mkurugenzi huyo wa PPP Bw David Kafulila.
Faida kuu kwà PPP ni kuifanya Serikali ya nchi husika iweze kutekeleza miradi yake mbalimbali ya maendeleo kwa faida ya Wananchi wake lakini pasina kutumia Kodi wala tozo toka kwa wananchi wake hivyo kupunguza maumivu ya Kodi na kuisaidia Serikali hiyo iweze kutekeleza miradi mbalimbali ambayo tu haiwezi kuvuta au kuvutia wabia wa PPP.
![]()
PPPC YAENDESHA MAFUNZO KWA KAMATI YA BUNGE YA TAMISEMI
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV KITUO cha Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC) kimeendesha Mafunzo kwa Kamati ya Kudumu ya Bu...www.michuzi.co.tz
Endeleza amini yako hanaga baya mwanaIla Mimi namwamini sana Kafulila kama atatuangusha na yeye basi ntajua CCM wote ni mafisi
Lazima Viongozi kujiepusha na rushwa na ufisadi ili kuwa na mikataba yenye tijaView attachment 3152750

Huyu Abood daahSio Abood wako wengi wengi wao ni Viongozi wa Serikali
Mkuu kwanini usiandoke kitabu?Una uhakika Mkapa hakufanya Ubia ?