PPPC kuvuta mitaji ya $9bn

PPPC kuvuta mitaji ya $9bn

TaiPei

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2022
Posts
572
Reaction score
608
IMG-20241112-WA0120.jpg

Kituo cha Ubia nchini kati ya sekta ya umma na sekta binafsi (PPPC) kimeendesha Mafunzo maalumu kwa kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa( TAMISEMI )

Mafunzo hayo ya siku moja yalilenga kuwajengea uwezo Wahesimiwa Wabunge hao wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano ili kutoa picha pana juu ya muundo na majukumu ya PPP - Cetre hapa Tanzania.

Mambo mengine muhimu ambayo yamejadiliwa katika semina hiyo ni pamoja na umuhimu wa kutumia PPP katika kutekeleza Mipango mbalimbali ya Taifa ya Maendeleo ya nchi, muundo wa kisheria na Kitaasisi katika utekelezaji wa mipango ya PPP Tanzania.

Mambo mengine ambayo yalijadiliwa ni pamoja na dhana ya PPP na Orodha ya miradi ya mbalimbali PPP iliyoandaliwa chini ya Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini.

Mkurugenzi wa PPPC Tanzania Bw. David Kafulila ameiambia kamati hiyo ya Bunge kuwa PPPC inatarajia kuvuta mitaji toka sekta binafsi yenye thamani ya US$9 billion au TZS25 trillioni kwaajili ya Utekelezaji wa miradi midogo ya kati na miradi mikubwa kwa manufaa ya Taifa.

Kwasasa, Tanzania inatekeleza zaidi ya miradi 84 kupitia PPP kwenye nyanja mbalimbali ikiwemo miundombinu , Umeme wa maji pamoja na miradi mbalimbali ya maendeleo endelevu.

David Kafulila ameiambia kamati hiyo ya Bunge kuwa miradi iliyo kwenye mtiririko wa PPP iko katika hatua mbalimbali za kiutekelezaji kama Upembuzi yakinifu, hatua ya kuandaa mikataba, mingine iko katika tathimini, Manunuzi na mingine iko katika hatua ya uandaaji wa maandiko ya miradi.

“Miradi muhimu kama barabara za kulipia toka Kibaha-Chalinze US$340millioni sawa na TZS 888bn pamoja na Ujenzi wa barabara za mzunguko kwa Jiji la Dar es salaam ambazo zitafuta kabisa foleni wenye thamani ya US$1 billioni karibu TZS 2.7trilioni,
Miradi hii yote inaendelea vizuri" alisema Mkurugenzi huyo wa PPP Bw David Kafulila.

Faida kuu kwà PPP ni kuifanya Serikali ya nchi husika iweze kutekeleza miradi yake mbalimbali ya maendeleo kwa faida ya Wananchi wake lakini pasina kutumia Kodi wala tozo toka kwa wananchi wake hivyo kupunguza maumivu ya Kodi na kuisaidia Serikali hiyo iweze kutekeleza miradi mbalimbali ambayo tu haiwezi kuvuta au kuvutia wabia wa PPP.

Tanzania tunahitaji watu makini sio Rasilimali kwani Rasilimali tunazo, karibu zote,
Mkapa alikuja na sera hii ya ubinafshaji tuliona matokeo yake
Nataka kujua hii PPP inatofauti gani na ile ya Mkapa?
Abood pale Morogoro anamajengo yetu yeye anafugia Mbuzi wakati kile kilikuwa ni kiwanda
 
Mkuu Mia770

Mkapa alifanya Ubinafsishaji lakini Samia anafanya Ubia,
Tofauti ya Ubia na ubinafsi ni kwamba,

Ubinafsishaji umiliki unabadilika
Ubia umiliki haubadiliki
 
Tanzania tunahitaji watu makini sio Rasilimali kwani Rasilimali tunazo, karibu zote,

Mkapa alikuja na sera hii ya ubinafshaji tuliona matokeo yake

Nataka kujua hii PPP inatofauti gani na ile ya Mkapa?

Abood pale Morogoro anamajengo yetu yeye anafugia Mbuzi wakati kile kilikuwa ni kiwanda
Sio Abood wako wengi wengi wao ni Viongozi wa Serikali
 
View attachment 3152750

Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC) kimeendesha Mafunzo maalumu kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI)

Mafunzo hayo ya siku moja ya kuwajengea uwezo Wahesimiwa Wabunge hao wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano yalilenga kutoa picha pana juu ya majukumu ya PPPC.

Katika mambo ambayo yamejadiliwa ni pamoja umuhimu wa kutumia PPP katika utekelezaji wa Mipango ya Taifa ya Maendeleo ya nchi, muundo wa kisheria na Kitaasisi katika utekelezaji wa mipango ya PPP Tanzania.

Mambo mengine ambayo yalijadiliwa ni pamoja na dhana ya PPP na Orodha ya Miradi ya PPP iliyoandaliwa chini ya Mamlaka za Serikali za Mitaa.

Mkurugenzi wa PPPC Tanzania Bw. David Kafulila ameiambia kamati hiyo ya Bunge kuwa PPPC inatarajia kuvuta mitaji yenye thamani ya US$9 billion au TZS25 trillioni toka sekta binafsi kwaajili ya Utekelezaji wa miradi midogo ya kati na miradi mikubwa.

Kwasasa, Tanzania inatekeleza zaidi ya miradi 84 kupitia PPP kwenye nyanja mbalimbali ikiwemo miundombinu , Umeme wa Maji pamoja na miradi mingine mbalimbali ya maendeleo endelevu.

David Kafulila ameiambia kamati hiyo ya Bunge kuwa miradi iliyo kwenye mtiririko wa PPP iko katika hatua mbalimbali za kiutekelezaji kama Upembuzi yakinifu, hatua ya kuandaa mikataba, mingine iko katika tathimini, Manunuzi na mingine iko katika hatua ya uandaaji wa maandiko ya miradi.

“Miradi muhimu kama barabara za kulipia toka Kibaha-Chalinze US$340millioni karibu TZS 888bn pamoja na Ujenzi wa barabara za mzunguko kwa Jiji la Dar es salaam wenye thamani ya US$1 billioni karibu TZS 2.7trilioni miradi hii yote inaendelea vizuri" alisema Mkurugenzi huyo wa PPP Bw David Kafulila.

Faida kuu kwà PPP ni kuifanya Serikali au nchi iweze kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo kwa faida ya Wananchi wake lakini pasina kutumia Kodi wala tozo toka kwa wananchi wake hivyo kupunguza maumivu ya Kodi na kuisaidia Serikali hiyo katika kutekeleza miradi mbalimbali ambayo haiwezi kuvuta au kuvutia wabia.

View attachment 3152755
Sasa Serikali kwanini isijikite tu kwenye PPP tuache kulipa Kodi?
 
Sasa kama Kodi kwa mwaka mzima ni 24trilioni na bajeti 55trilioni unadhani Kodi inaweza Kweli kugharamia miradi ya maendeleo?

PPP is inevitable
 
View attachment 3152750

Kituo cha Ubia nchini kati ya sekta ya umma na sekta binafsi (PPPC) kimeendesha Mafunzo maalumu kwa kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa( TAMISEMI )

Mafunzo hayo ya siku moja yalilenga kuwajengea uwezo Wahesimiwa Wabunge hao wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano ili kutoa picha pana juu ya muundo na majukumu ya PPP - Cetre hapa Tanzania.

Mambo mengine muhimu ambayo yamejadiliwa katika semina hiyo ni pamoja na umuhimu wa kutumia PPP katika kutekeleza Mipango mbalimbali ya Taifa ya Maendeleo ya nchi, muundo wa kisheria na Kitaasisi katika utekelezaji wa mipango ya PPP Tanzania.

Mambo mengine ambayo yalijadiliwa ni pamoja na dhana ya PPP na Orodha ya miradi ya mbalimbali PPP iliyoandaliwa chini ya Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini.

Mkurugenzi wa PPPC Tanzania Bw. David Kafulila ameiambia kamati hiyo ya Bunge kuwa PPPC inatarajia kuvuta mitaji toka sekta binafsi yenye thamani ya US$9 billion au TZS25 trillioni kwaajili ya Utekelezaji wa miradi midogo ya kati na miradi mikubwa kwa manufaa ya Taifa.

Kwasasa, Tanzania inatekeleza zaidi ya miradi 84 kupitia PPP kwenye nyanja mbalimbali ikiwemo miundombinu , Umeme wa maji pamoja na miradi mbalimbali ya maendeleo endelevu.

David Kafulila ameiambia kamati hiyo ya Bunge kuwa miradi iliyo kwenye mtiririko wa PPP iko katika hatua mbalimbali za kiutekelezaji kama Upembuzi yakinifu, hatua ya kuandaa mikataba, mingine iko katika tathimini, Manunuzi na mingine iko katika hatua ya uandaaji wa maandiko ya miradi.

“Miradi muhimu kama barabara za kulipia toka Kibaha-Chalinze US$340millioni sawa na TZS 888bn pamoja na Ujenzi wa barabara za mzunguko kwa Jiji la Dar es salaam ambazo zitafuta kabisa foleni wenye thamani ya US$1 billioni karibu TZS 2.7trilioni,
Miradi hii yote inaendelea vizuri" alisema Mkurugenzi huyo wa PPP Bw David Kafulila.

Faida kuu kwà PPP ni kuifanya Serikali ya nchi husika iweze kutekeleza miradi yake mbalimbali ya maendeleo kwa faida ya Wananchi wake lakini pasina kutumia Kodi wala tozo toka kwa wananchi wake hivyo kupunguza maumivu ya Kodi na kuisaidia Serikali hiyo iweze kutekeleza miradi mbalimbali ambayo tu haiwezi kuvuta au kuvutia wabia wa PPP.

View attachment 3152755
Kwanini PPP imeanza lini hapa TANZANIA?
 
Back
Top Bottom