PPPTZ: Bil 948.5TZS kukarabati Uwanja wa Sabasaba Dar es salaam sasa biashara ni 24|7 sio kusubiri tena msimu wa SabaSaba, Heko PPPC

Hakuna aliyekubishia

Hata Tanzania tulipokuwa na Viwanda na taasisi za Huduma 1980s tulikuwa na maonesho ya Saba - Saba

Siku hizi Watu wanaenda kulewa na kuangalia Nyumbu na Nyani pale banda la Utalii hakuna kingine 😂😂
Yes, now ile ni Gulio tu, na haina viwango vya kuitwa mainyesho ile, full uchuuzi, full mabada ya kampuni za simu kila mahala, na mabanda ya pombe
 
View attachment 3376595
==
Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) inatarajia kuanza utekelezaji wa mradi mkubwa wa uboreshaji wa Uwanja wa Maonyesho wa Mwalimu Julius Nyerere, maarufu kama Viwanja vya Sabasaba kwa njia ya Ubia PPP.

Uwanja huo wa kisasa Ukanda Mzima wa Africa Mashariki unatarajiwa kutumia US$322M karibu sawa na shilingi za Kitanzania bilioni 948.5bn ambazo zitatoka kwa wawekezaji wa Ubia baina ya Serikali (TanTrade) na Sekta binafsi.

Kwa ujumla wake Mradi huu una lengo la kuboresha viwanja hivyo vya Maonyesho ili kuvifanya kuwa kitovu cha biashara Africa ili kuendana na viwango na matakwa ya biashara za kimataifa na hadhi ya Tanzania kwa sasa.

Baada ya ukarabati na Ujenzi huo uwanja huu badala ya kutumika kwa kipindi flani maalumu katika mwaka sasa utatumika masaa 24|7 kwa ajili ya biashara jambo ambalo litaongeza Kodi na mzunguko wa pesa hasa Kwa Mkoa wa Dar es salaam na maeneo ya jirani.

Akizungumza jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade, Bi. Latifa Khamis, amesema mradi huo mkubwa utatekelezwa kwa ubia na sekta binafsi, kama sehemu ya mkakati wa Serikali wa kuvutia mitaji, Teknolojia na Ujuzi pamoja na uwekezaji kutoka mataifa mbalimbali, watu binafsi au makampuni binafsi.

“Mradi huu utahusisha ujenzi wa miundombinu ya kisasa inayojumuisha kumbi za kimataifa za maonesho, maeneo ya biashara, huduma za kidijitali na maeneo ya burudani, malezi na hoteli. Lengo ni kuhakikisha uwanja wa Sabasaba unakuwa kitovu cha maonesho na biashara kwa Ukanda Mzima wa Afrika Mashariki,” alisema Bi. Latifa.

Kwa upande wake, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP Center), Bw. David Kafulila, alisema uwekezaji huo una umuhimu mkubwa katika kukuza Sekta ya bidhaa na huduma nchini, ambayo ni moja ya nguzo kuu za ukuaji wa uchumi wa Taifa la Tanzania.

“Mradi huu ni mfano bora wa ushirikiano kati ya sekta ya umma na Sekta binafsi hapa nchini.

Mradi huu utasaidia kuongeza mchango wa sekta ya huduma katika pato la taifa sambamba na kuipunguzia Serikali mzigo wa kifedha kwa kuwezesha utekelezaji wa miradi mingine ya kimkakati,” alisema Kafulila.

Mradi huu unatarajiwa kubadili kabisa taswira ya uwanja wa Sabasaba na kuongeza ushindani wa Tanzania katika sekta ya biashara ya maonesho kimataifa.

Hata hivyo Rais Samia baada ya kumteua Bwana David Kafulila kama mkurugenzi wa kwanza wa PPPC tukumbuke pia kati ya nchi 195 dunia ni nchi 26 tu ikiwemo Tanzania ndio zina vituo kamili vya uwekezaji Kwa Ubia PPPC na huu ni utaishi alionao Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na ndio maana katika hotuba zake 34 za maswala ya kiuchumi 50% au nusu ya hotuba hizo alizungumzia Ubia na PPPC.

Hata hivyo PPPC pamoja na mradi huu Miradi mingine mingi imeanza kutekelezwa katika hatua mbalimbali hasa Ile iliyofuata Sheria ya PPP, Kwamfano mpaka sasa tayari miradi minne (4) ya mabasi ya mwendokasi Dar es salaam DART imesainiwa yenye jumla ya thamani ya zaidi ya TZS 600bn pamoja na Ile ya DDC business complex , Ubungo east Africa Complex , Bandari et el,

Hongera PPPC, Hongera TanTrade
Soma pia Govt unveils Sh948.5bn PPP plan to turn Sabasaba into economic hub

===
hiyo hela ni nyingi sana pale sabasaba padogo sana ni bora wangetafuta eneo lingine wawekeze vizuri kuwe na mazingira ya kimaonyesho hasa.
 
Biashara ni eneo. Pale kuna vitu vingi vinatakiwa kuvunjwa halafu pajengwe kuelekea juu.

322 milion USD si hela nyingi kama unavyofikiria. Kuna nyumba Oysterbay zinauzwa 3-4 million USD.

Nimefika Sabasaba mara ya mwisho 2012, baada ya kutoenda miaka mingi nikakosa hata hamu napo.

Palikuwa pamepigika mpaka barabara zake kuukuu, vyoo vinanuka, mambo ni yaleyale tu ya tangu miaka ya 1980s hakuna kitu kipya. Nilisikitika sana.
 
Inashangaza kwa nini Saba Saba trade fair inafanyika mara moja kwa mwaka! 😲
Tangu Saba Saba za chama cha TANU bado tu miaka 60 baada ya uhuru tuna eneo la maonyesho ya biashara na mabanda ya muda usiozidi wiki mbili? 😳

Uzoefu wangu nchi zingine, maonyesho ya biashara kama hayo hufanyika muda wote kwa mwaka mzima, kinachofanyika ni kutoa ratiba ya aina ya maonyesho yatafanyika lini na kwa muda gani.

Mabanda ya maonyesho kwingine huwa ni ya kudumu na hivyo kulibadilisha eneo la maonyesho kuwa kituo cha biashara. Kinachofanyika kwa sasa ni gulio la mnada.
 
Upumbavu mtupu..akili za kijuha kabisa, huna viwanda unajenga jengo kuonyesha bidhaa za wengine, hapa tulipo nchi ni km bazaar..kila mahali maduka yenye bidhaa za nje.
Watu serikalini wnapenda kujenga jenga sababu kubwa ni kutaka kuiba! Magufuli alizuia huu ujinga sabb alikuwa anafahamu huko kwenye kujenga ndio kuna uchochoro wa kuiba! Wazuieni hawa wasifanye huu ujinga!
 
Unaonyesha nini huna viwanda?
 
Kuna maonyesho pale? aisee, ole ni kariakoo inahamiaga pale kwa mda,
 
Upumbavu mtupu..akili za kijuha kabisa, huna viwanda unajenga jengo kuonyesha bidhaa za wengine, hapa tulipo nchi ni km bazaar..kila mahali maduka yenye bidhaa za nje.
Watu serikalini wnapenda kujenga jenga sababu kubwa ni kutaka kuiba! Magufuli alizuia huu ujinga sabb alikuwa anafahamu huko kwenye kujenga ndio kuna uchochoro wa kuiba! Wazuieni hawa wasifanye huu ujinga!
Si ndio hapo yaani wanaisaidia kukuza uchumi wa Chinaz India, japani na kwingineko,
 
View attachment 3376595
==
Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) inatarajia kuanza utekelezaji wa mradi mkubwa wa uboreshaji wa Uwanja wa Maonyesho wa Mwalimu Julius Nyerere, maarufu kama Viwanja vya Sabasaba kwa njia ya Ubia PPP.

Uwanja huo wa kisasa Ukanda Mzima wa Africa Mashariki unatarajiwa kutumia US$322M karibu sawa na shilingi za Kitanzania bilioni 948.5bn ambazo zitatoka kwa wawekezaji wa Ubia baina ya Serikali (TanTrade) na Sekta binafsi.

Kwa ujumla wake Mradi huu una lengo la kuboresha viwanja hivyo vya Maonyesho ili kuvifanya kuwa kitovu cha biashara Africa ili kuendana na viwango na matakwa ya biashara za kimataifa na hadhi ya Tanzania kwa sasa.

Baada ya ukarabati na Ujenzi huo uwanja huu badala ya kutumika kwa kipindi flani maalumu katika mwaka sasa utatumika masaa 24|7 kwa ajili ya biashara jambo ambalo litaongeza Kodi na mzunguko wa pesa hasa Kwa Mkoa wa Dar es salaam na maeneo ya jirani.

Akizungumza jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade, Bi. Latifa Khamis, amesema mradi huo mkubwa utatekelezwa kwa ubia na sekta binafsi, kama sehemu ya mkakati wa Serikali wa kuvutia mitaji, Teknolojia na Ujuzi pamoja na uwekezaji kutoka mataifa mbalimbali, watu binafsi au makampuni binafsi.

“Mradi huu utahusisha ujenzi wa miundombinu ya kisasa inayojumuisha kumbi za kimataifa za maonesho, maeneo ya biashara, huduma za kidijitali na maeneo ya burudani, malezi na hoteli. Lengo ni kuhakikisha uwanja wa Sabasaba unakuwa kitovu cha maonesho na biashara kwa Ukanda Mzima wa Afrika Mashariki,” alisema Bi. Latifa.

Kwa upande wake, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP Center), Bw. David Kafulila, alisema uwekezaji huo una umuhimu mkubwa katika kukuza Sekta ya bidhaa na huduma nchini, ambayo ni moja ya nguzo kuu za ukuaji wa uchumi wa Taifa la Tanzania.

“Mradi huu ni mfano bora wa ushirikiano kati ya sekta ya umma na Sekta binafsi hapa nchini.

Mradi huu utasaidia kuongeza mchango wa sekta ya huduma katika pato la taifa sambamba na kuipunguzia Serikali mzigo wa kifedha kwa kuwezesha utekelezaji wa miradi mingine ya kimkakati,” alisema Kafulila.

Mradi huu unatarajiwa kubadili kabisa taswira ya uwanja wa Sabasaba na kuongeza ushindani wa Tanzania katika sekta ya biashara ya maonesho kimataifa.

Hata hivyo Rais Samia baada ya kumteua Bwana David Kafulila kama mkurugenzi wa kwanza wa PPPC tukumbuke pia kati ya nchi 195 dunia ni nchi 26 tu ikiwemo Tanzania ndio zina vituo kamili vya uwekezaji Kwa Ubia PPPC na huu ni utaishi alionao Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na ndio maana katika hotuba zake 34 za maswala ya kiuchumi 50% au nusu ya hotuba hizo alizungumzia Ubia na PPPC.

Hata hivyo PPPC pamoja na mradi huu Miradi mingine mingi imeanza kutekelezwa katika hatua mbalimbali hasa Ile iliyofuata Sheria ya PPP, Kwamfano mpaka sasa tayari miradi minne (4) ya mabasi ya mwendokasi Dar es salaam DART imesainiwa yenye jumla ya thamani ya zaidi ya TZS 600bn pamoja na Ile ya DDC business complex , Ubungo east Africa Complex , Bandari et el,

Hongera PPPC, Hongera TanTrade
Soma pia Govt unveils Sh948.5bn PPP plan to turn Sabasaba into economic hub

===
Naomba kuuliza, hivi viwanda vidogo vidogo, yaani home industries mashine zake zinauzwa bei gani? Mana naona kuliko kutoa bilioni 900 kwa ajili ya kukarabati ili kuchuuza bidhaa za China, ni bora hizo bilioni 900 zikatumika kuwawezesha Wajasiriamali wakanunua mashine za kutengeneza bidhaa ndogo ndogo lakini ambazo zina umuhimu katika jamii mfano, nguo, viatu, furnitures, vifaa vya magari na pikipiki mfano matairi nk

Ukitizama India na Bangladeshi, kuna viwanda vidogo vidogo lakini nahisi hizo bidhaa zinauzwa Afrika lakini huko zimetengenezwa tena kwa mashine za kawaida kabisa hadi wanatumia moto wa kuni kuyeyusha chuma
 
Bado mnafungua maduka ya China tu ... mnaendelea kuwa madalali wa bidhaa za China,,, acheni Propaganda wapeni kazi wakulima Tanga, Morogoro, Ruvuma, Kigoma na Mbeya walime MPIRA mfufue General Tyre uchumi wa nchi na wananchi wake upande..
Inatosha sasa na huo udalali wenu, kuweni wabunifu siyo kuishi maisha yale yale ya mazoea, hamfungui vichwa kwa vitu vipya kunafaisha watanganyika.
Mnatafuta vitu rahisi rahisi vya kurahisisha matumizi ya pesa ili ipatikane njia ya upigaji,,, hamtaki kuwekeza vitu vitakavyozalisha muda mrefu... Shame On You.
 
Biashara ni eneo. Pale kuna vitu vingi vinatakiwa kuvunjwa halafu pajengwe kuelekea juu.

322 milion USD si hela nyingi kama unavyofikiria. Kuna nyumba Oysterbay zinauzwa 3-4 million USD.

Nimefika Sabasaba mara ya mwisho 2012, baada ya kutoenda miaka mingi nikakosa hata hamu napo.

Palikuwa pamepigika mpaka barabara zake kuukuu, vyoo vinanuka, mambo ni yaleyale tu ya tangu miaka ya 1980s hakuna kitu kipya. Nilisikitika sana.
Yaah yaani mara ya mwisho nimeenda nilikuta maonyesho ya magari nadhani ni wachina wale ila unaona kajisa eneo ni dogo na hapawezekani kutanuliwa ni bora watafute mazingira mazuri ya kuvutia sehemu nyingine au kama ni lazima palepale basi wapaboreshe kwelikweli ili maonyesho yaendane na karne ya 21 haswa..
 
Biashara ni eneo. Pale kuna vitu vingi vinatakiwa kuvunjwa halafu pajengwe kuelekea juu.

322 milion USD si hela nyingi kama unavyofikiria. Kuna nyumba Oysterbay zinauzwa 3-4 million USD.

Nimefika Sabasaba mara ya mwisho 2012, baada ya kutoenda miaka mingi nikakosa hata hamu napo.

Palikuwa pamepigika mpaka barabara zake kuukuu, vyoo vinanuka, mambo ni yaleyale tu ya tangu miaka ya 1980s hakuna kitu kipya. Nilisikitika sana.
Watu wameshafanya upembuzi mkuu ngoja tuone
 
Hata Machinga Complex walifanya upembuzi.

Wao kufanya upembuzi haina maana kuwa na sisi hatutakiwi kujadili.

Hata sisi ni watu pia ukisema "Watu wameshafanya upembuzi" inakuwa kama unatufanya sisi si watu, wao ndio watu.
 
Back
Top Bottom