PPPTZ: Bil 948.5TZS kukarabati Uwanja wa Sabasaba Dar es salaam sasa biashara ni 24|7 sio kusubiri tena msimu wa SabaSaba, Heko PPPC

Hata Machinga Complex walifanya upembuzi.

Wao kufanya upembuzi haina maana kuwa na sisi hatutakiwi kujadili.

Hata sisi ni watu pia ukisema "Watu wameshafanya upembuzi" inakuwa kama unatufanya sisi si watu, wao ndio watu.
Ok, nadhani turudi kwenye mjadala
 
Kafulila kama PPP au PPP kama Kafulila
 
Naona hili Li-PPP limejipanga sana
 
Kila sehemu yanaanzishwa magulio. Kwa nini wasijikite kwenye uwekezaji wa viwanda vidogo vidogo mfano pale keko wawawezeshe wazawa wazalishe furniture za kisasa zaidi
 
Kila sehemu yanaanzishwa magulio. Kwa nini wasijikite kwenye uwekezaji wa viwanda vidogo vidogo mfano pale keko wawawezeshe wazawa wazalishe furniture za kisasa zaidi
Ndicho kinachofanyika huwezi kuzalisha furniture halafu hujui soko lilipo
 
Sawa sawa
 
Mwendo wa kuzungusha sketi tu Tanzania nchi ya amani sana
 
Kila sehemu yanaanzishwa magulio. Kwa nini wasijikite kwenye uwekezaji wa viwanda vidogo vidogo mfano pale keko wawawezeshe wazawa wazalishe furniture za kisasa zaidi
Soko pia muhimu.
 
Hizo disposable income zipo za watu kununua / kushiriki kwenye hizo biashara za 24 /7 ? au hata haya masaa tu 12 watu wamepigika na kushindwa kununua ? Yaani bila ukombozi wa mchina na bei rahisi watu wangetembea peku....

 
Y🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…