PPPTZ: Bil 948.5TZS kukarabati Uwanja wa Sabasaba Dar es salaam sasa biashara ni 24|7 sio kusubiri tena msimu wa SabaSaba, Heko PPPC

Haya yote ni matokeo ya Uongozi Bora WA Rais Samia
 
Litakuwepo
Wapi? Hii nchi wateja wanamilikiwa, Katika kitu kinachoitesa Tanganyika ni kujua wapi raia wake wakauze bidhaa zao. Wakulima tu kuuza sokoni dalali ndo mmiliki wa mnunuzi na anapata kuliko mkulima.
 
Hapo kwenye biashara kati ya dalali na Mkulima umeugusa moyo wangu kabisa, Madalali wanakula jasho la Mkulima bure kabisa
 
Reactions: Tsh
SAMIA MITANO TENA
 
Hapo kwenye biashara kati ya dalali na Mkulima umeugusa moyo wangu kabisa, Madalali wanakula jasho la Mkulima bure kabisa
Ndo hivyo mkuu, pole, unalima viazi kwa jasho jingi unajaza canter ukiingia sokoni unakutana na watoto wa mjini na network zao wanakufurahisha, ukigoma kufurahi viazi vinaoza hapo hapo sokoni.
 
Hili jambo linasikitisha sana
 
Reactions: Tsh
Wapi? Hii nchi wateja wanamilikiwa, Katika kitu kinachoitesa Tanganyika ni kujua wapi raia wake wakauze bidhaa zao. Wakulima tu kuuza sokoni dalali ndo mmiliki wa mnunuzi na anapata kuliko mkulima.
Madalali shit fucken wajinga sana
 
Reactions: Tsh
Ndo hivyo mkuu, pole, unalima viazi kwa jasho jingi unajaza canter ukiingia sokoni unakutana na watoto wa mjini na network zao wanakufurahisha, ukigoma kufurahi viazi vinaoza hapo hapo sokoni.
Acha kabisa
 
Reactions: Tsh
Umaana wa trade fair unaondoka rasmi, (trade fair siyo kutengeneza kariakoo ukusanye kodi) trade fair ni uonyeshaji wa bidhaa mpya na teknolojia mpya za kuboresha sekta ya kiuchumi kwa ujumla wake, ashapewa ganchi ameshaaribu maana nzima ya maonyesho hayo, maana tulikuwa tunakwenda kuuliza maswali pale, tunapata Ushauri pale na mwongozo sahihi, sasa panageuka eneo sawa na kariakoo!
N. B, KIPINDI CHA MAONESHO YA SABA SABA KIONGEZWE KUTOKA WIKI 2,KIWE SIKU SITINI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…