PPPTZ: Kampuni ya Kifaransa ya ALSTOM kujenga reli za juu kutoka Posta mpaka magomeni kwenda mlimani City kisha Tegeta

Mwanga wa Jua

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2025
Posts
326
Reaction score
247
IMG-20250606-WA0014.jpg

==
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya, amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Kampuni ya ALSTOM, yenye Makao yake Makuu nchini Ufaransa, iliyoonesha nia ya kuwekeza katika ujenzi na uendeshaji wa miundombinu ya reli ili kupunguza msongamano wa magari na kuboresha usafiri katika jiji la Dar es Salaam.

Kikao hicho kilifanyika katika Ofisi za Wizara ya Fedha, Treasury Square, jijini, Dodoma na kuhudhuriwa na Kaimu Kamishna wa Kitengo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) Wizara ya Fedha, Bw. Bashiru Taratibu, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), Bw. David Kafulila, Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Sheria, Wizara ya Fedha, Bi. Zawadi Maginga pamoja na wataalamu kutoka Wizara ya Fedha na Kampuni ya ALSTOM.

Kama anavyosisitiza siku zote Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila na ndio faida ya PPP kwamba ALSTOM watajenga hiyo reli Kwa pesa zao ikiisha tunamwacha anaiendesha Kwa muda wa Mkataba na baada ya Mkataba reli na kila Kitu vinakuwa Mali ya Watanzania.

Hongera Mkurugenzi David Kafulila

==
 
View attachment 3358496

Kama utakuwa mkabata mzuri hakuna tatizo. Wanaendesha treni za mjini London ,Ulaya bila tatizo lolote miaka zaidi miaka 15 sasa. Ni jina lenye heshima duniani kama hawata ingiiliwa.
 
Ngoja tuone ila ni muhimu ifanyike Kwa PPP
 
View attachment 3358496
==
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya, amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Kampuni ya ALSTOM, yenye Makao yake Makuu nchini Ufaransa, iliyoonesha nia ya kuwekeza katika ujenzi na uendeshaji wa miundombinu ya reli ili kupunguza msongamano wa magari na kuboresha usafiri katika jiji la Dar es Salaam.

Kikao hicho kilifanyika katika Ofisi za Wizara ya Fedha, Treasury Square, jijini, Dodoma na kuhudhuriwa na Kaimu Kamishna wa Kitengo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) Wizara ya Fedha, Bw. Bashiru Taratibu, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), Bw. David Kafulila, Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Sheria, Wizara ya Fedha, Bi. Zawadi Maginga pamoja na wataalamu kutoka Wizara ya Fedha na Kampuni ya ALSTOM.

Kama anavyosisitiza siku zote Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila na ndio faida ya PPP kwamba ALSTOM watajenga hiyo reli Kwa pesa zao ikiisha tunamwacha anaiendesha Kwa muda wa Mkataba na baada ya Mkataba reli na kila Kitu vinakuwa Mali ya Watanzania.

==
Hawawezi bana...Apo inatafutwa deal watu wagawane keki
 
Jiji linatakiwa kupanuliwa kuwe na satellite towns/cities ndipo ziunganishwe hivyo.
Serikakalini wapo bado wana fikra za jiji Krishna Ubungo na Mwenge.
Katika watu wenye mikataba mibaya duniani ni wafaransa. Watatumia ujinga wa watumishi wengi wa seikali pamoja na wanasiasa kujinufaisha kwa mikataba ya aina hiyo. Wanafurushwa west Africa, wanajaribu fursa East Africa kwa kutumia loophole ya ujinga ule ule wa kizamani.
 
USHAURI mzuri sana mkuu
 
Back
Top Bottom