Ni upande wako. Uwe makini, mzalendo. Kusimamia value for money.Jiji linatakiwa kupanuliwa kuwe na satellite towns/cities ndipo ziunganishwe hivyo.
Serikakalini wapo bado wana fikra za jiji Krishna Ubungo na Mwenge.
Katika watu wenye mikataba mibaya duniani ni wafaransa. Watatumia ujinga wa watumishi wengi wa seikali pamoja na wanasiasa kujinufaisha kwa mikataba ya aina hiyo. Wanafurushwa west Africa, wanajaribu fursa East Africa kwa kutumia loophole ya ujinga ule ule wa kizamani.
ahadi zote kabla ya uchaguzi uwa siziamini hadi nione kwa vitendo ujenzi umeanza. hapo wanawaseti tu msipoteze muda kuwaamini maccm.View attachment 3358496
==
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya, amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Kampuni ya ALSTOM, yenye Makao yake Makuu nchini Ufaransa, iliyoonesha nia ya kuwekeza katika ujenzi na uendeshaji wa miundombinu ya reli ili kupunguza msongamano wa magari na kuboresha usafiri katika jiji la Dar es Salaam.
Kikao hicho kilifanyika katika Ofisi za Wizara ya Fedha, Treasury Square, jijini, Dodoma na kuhudhuriwa na Kaimu Kamishna wa Kitengo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) Wizara ya Fedha, Bw. Bashiru Taratibu, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), Bw. David Kafulila, Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Sheria, Wizara ya Fedha, Bi. Zawadi Maginga pamoja na wataalamu kutoka Wizara ya Fedha na Kampuni ya ALSTOM.
Kama anavyosisitiza siku zote Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila na ndio faida ya PPP kwamba ALSTOM watajenga hiyo reli Kwa pesa zao ikiisha tunamwacha anaiendesha Kwa muda wa Mkataba na baada ya Mkataba reli na kila Kitu vinakuwa Mali ya Watanzania.
==
Pambaf Acha stori za kiwaki.. bilaView attachment 3358496

Safi sana TanzaniaNimeelewa kumbe wamefanya mazungumzo, ni vizuri kuwa na mazungumzo.
Hizo reli zajuu ndio zinakuwaje maana pale posta hata mradi wa mabasi yaendayo kasi haujakamilika,
Mambo ni dabo dabo
Nyie machawa wa no reform no erection mtazielewaje reli za juu? Hayo ndiyo mambo makubwa anayoyafanya mama. Mama hatumdaaaaiiNimeelewa kumbe wamefanya mazungumzo, ni vizuri kuwa na mazungumzo.
Hizo reli zajuu ndio zinakuwaje maana pale posta hata mradi wa mabasi yaendayo kasi haujakamilika,
Mambo ni dabo dabo
Kwa hiyo wewe ulitaka reli ya juu iende kisemvule?Yaani hamjamaliza BRT mnaanza story mpya. Sasa Mlimani City lini usafiri umekua wa shida
Maneno mengi sana huyoMzee wa PPP katika moja na mbili 😂 yani anapambana kupata angle ya ulaji kila mahali 😁 expressway bado hajakamilisha kashawaita waendesha trams 😄!
Ha haaa haaaa..ananikumbusha Mr Megawatti Ngeleja na POROJO zake kipindi kile cha Msoga na crisis ya UMEMEManeno mengi sana huyo
Ova
We dada utatokwa hesdhi njiani wewe, haki ya nani.Bila Reforms mradi huu utagubikwa na Rushwa.
Kwa hiyo tunasema No Reforms No Election