PPPTZ: TANROADS yatangaza miradi 6 ya barabara za PPP zenye urefu wa km 969

Kwa rasilimali tulizonazo ni aibu kutafuta muwekezaji kwenye mradi wa trilioni 2.9. Ila kwa kuwa ni maelekezo ya IMF yenye lengo la kutufanya masikini milele huku viongozi wachache wakifaidi mema ya nchi fanyeni tu.
 
Good move!
 
Dar Port - Kibaha express highway ni ipi? Ni tofauti na kupitia Ubungo, Kmarara hadi Kibaha?
Pia Dar CBD - JKNIA ni tofauti na hii iliyojengwa BRT?
 
Porojo tu.kuna Wachina walikuja na mahela ya kutaka jenga Barbara ya kwenda Dodoma 4 Lanes. Wamepigishwa kwata kisawasawa kwenye corridors za TANROADS awana hamu.Leo wanakuja na matangazo 😁😁
 
Porojoooooo tuuu hizooo hamna kituu
Nilijua lazima misukule ya lissu na kitima iwepo kupinga..........of course ku-air out frustrations zao za kushindwa huyu mama, namaanisha Dr Samia Suluhu Hassan a.k.a The Mother of Modern Tanzania. Misukule ikijiziba Huku mama anawazibua kule, ikijiziba kule mama anawazibua Huku.....tena uzibuaji wake anaufanya kizenji😅😅😅
 
😃😃😃
 
huko mbeya hamna kipande chochote na ile jam?
 
Futuhi

Wazibe mashimo kwanza kwenye Barabara zilizopo
 
2.6Trillion kwa miaka wastani 3, yaani tunashindwa kutenga billion 850 Kila bajeti kujenga wenyewe tukamuepusha Mtz na hizo tozo?

Mkishindwa kabisa, shawishini Watanzania, hata wakiwa 100 wachangie hiyo hela kama PPP hata tukiwa tunatozwa baadae inakuwa nafuu inaingia kwa Watz wenzetu.
 
Mngekuwa waadilifu hiyo hela mngetushawishi kuchangia Kila mwanachi 1000- 100000 kwa mwaka, kulingana na makundi. Ndani ya miaka 5 tungekuwa tumemaliza kujenga. Shida yenu mmekuwa Panya kutoboa chakula kilichotunzwa kwa ajili ya wote.
 
Kungekuwa na sheria wabadhirifu wa Mali za umma kunyongwa na wezi kufungwa Maisha Watz ni wakarimu sana wangechanga hiyo Tril. 2.9 ila sasa viongozi wetu ni wabinafsi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…