MONEY IS NOT EVERYTHING
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 2,242
- 3,161
Kuanzisha ni jambo zuri lakini kwasasa tunataka Uzinduzi wa miradi baada ya kukamilika.
PPP kwenye barabara ni ubepari wa kutisha sana.Kuna kesi kuhusu daraja la kigamboni, hapo wanatengeneza mgogoro mwingine sababu wananchi wamekuwa wakikatwa pesa kupitia tozo za mafuta, uagizaji bidhaa toka nje halafu leo uwaambie walipie barabara sio sahihi.
Cag akague zile pesa zinazokatwa kwa ajili ya ujenzi wa barabara zinaenda wapi?