mbegunjema
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 221
- 246
Tatizo la kuweka na kuondoa na kuweka kubwa. Ukipigwa hutajua ni kisasi cha nani.Ndio tunataka hivyo!!ili ccm itakapo anguka chali kusiwe na mwenye kiburi kwamba "Ningekuwepo mimi isingekuwa hivi"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo la kuweka na kuondoa na kuweka kubwa. Ukipigwa hutajua ni kisasi cha nani.Ndio tunataka hivyo!!ili ccm itakapo anguka chali kusiwe na mwenye kiburi kwamba "Ningekuwepo mimi isingekuwa hivi"
Ww ndio unajua sio chawa, lakini sifa zote za uchawa unazo.Kitu muhimu Je ni sifa za kweli?.
Huyu ndie PM wa awamu ya kwanza ya Rais Dr. Emanuel Nchimbi!
Sip mbeleko ni mtu wa ukwee
Mimi sip mtu wa maslahi binafsi, mimi ni mtu wa maslahi ya taifa mbele.
Utakuwa unanionea bure, wenye mbinu hizo ni machawa, mimi sio chawa!.
P
Hakuna kitu kizuri kama mtu kujitambua for real and for sure kuwa sio chawa, unafarijika sana moyoni mwako, hata kama watu watakutambua kama chawa!. Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!Ww ndio unajua sio chawa, lakini sifa zote za uchawa unazo.
Zamani hukuwa chawa maana ulikuwa kijana na mambo yako yalikuwa mazuri. Sio sasa baada ya kuzeeka.Hakuna kitu kizuri kama mtu kujitambua for real and for sure kuwa sio chawa, unafarijika sana moyoni mwako, hata kama watu watakutambua kama chawa!. Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!
P
Kwanini tunaogopa kuusema ukweli? Hivi sasa CCM haina wanasiasa imeishiwa, siku hizi CCM haijengi wanasiasa inategemea sana machawa na manyangarakasha yasiyo na faida za muda mrefu, turejee kisa cha kumteua Wasira! Hana tofauti na Biden, pamoja na usemi jungu kuu halikosi ukoko lakini jungu hili liliungulia dona kwa chai halifai.Wanabodi
Mimi ni story teller, from time to time, nitakuwa nafanya short sessions za News analysis ambazo zitaitwa "PPR News Analysis".
Nichukue fursa hii kuelimisha kidogo hii news analysis ni nini.
News analysis ni uchambuzi wa habari, kwa kuwaita manguli kuichambua habari
fulani na ina maanisha nini. Kwa Tanzania, TV inayofanya uchambuzi wa habari ni Star TV pekee kipindi chao cha Jicho Letu, Vyombo Vya Habari Vya Tanzania, Havina Uwezo wa Uchambuzi wa Habari, News Analysis-Jicho Letu lakini TV zote, Radio zote kutwa ni uchambuzi wa mpira tuu!.
Moja ya sababu kwanini hatuna news analysis ni kwasababu media yetu, hatuna watangazaji wabobezi
kihivyo wa kutosha.
Kwavile mimi ni mbobezi kihivyo wa kutosha, nimekuwa nawafanyia analysis za kihivyo from time to time.
Analysis ya leo ni kitendo cha Mama kumwangukia mwanae Janu, ila pia nimeikubali Tanga!, Tanga sio mchezo!, kama una jambo lako lolote, akatokea mtu akakuambia akupeleke Tanga, were nenda, hutajutia!, kunaonekana kuna wataalam na watalamuna!, mtu anatumbuliwa once, mtumbuaji anachomoka!, aliyeingia akamrejesha!, akapigwa majungu top down, left, right and center, akapigwa kibao na kufichiwa chakula alale njaa!. Leo Maza kamkumbuka, kamsamehe!, hi sio kawaida!.
Sasa kabla sijasema ya Janu, anzia kwanza hapa
If you're good, you are good!, yaani mtu ukiwa ni mzuri, ni mzuri, Janu is dam good!.
- January Makamba, very intelligent, humble, down-to-earth! Can make the best President
- January Makamba Top The List of Most Interactive Politician in Tanzania!
- Waziri wa Nishati January Makamba afanya historia, Awasilisha Hotuba ya Bajeti yenye QR Code mara ya kwanza kwenye Historia ya Bunge la Tanzania!
- January Makamba live! Ndani ya Mikasi EATV!. Watch Now!
- Tanzania bado tuna tatizo la upangaji vipaumbele vyetu, baada ya Elimu, Afya na kilimo, ilipaswa ije nishati!. Ni aibu na hatari kupikia kuni na mkaa!
Kuna viburi vingi, kiburi cha kupendwa, kiburi cha urembo, kiburi cha utajiri, kiburi cha usomi, kiburi cha u supper star, kiburi cha madaraka, kiburi cha mamlaka, kiburi cha male chauvanism, kiburi cha feminism, kiburi cha superiority complex etc na viburi vingine kibao ila for the sake of bandiko hili, nitajikita kwenye viburi fulani viwili, kiburi cha pesa, jeuri ya pesa, na kiburi cha madaraka yaani power corrupt.
Kiburi cha pesa au jeuri ya pesa, inaitwa money confidence, mtu akiwa na pesa, tajiri, anajisikia sana akiamini money can buy everything, ukiwa na pesa unaweza kufanya chochote!. Kiongozi ukipenda pesa na kuzungukwa na watu wenye pesa, then, watu wenye pesa watakuambia kufanya chochote na wewe you can't say no! kama Trumpu na Eloni Muski.
Kiburi cha madaraka, mamlaka na power ni kuzisikia unaweza kufanya jambo lolote kwa yeyote na kuona no one is indispensable, hivyo unaweza kumteua yeyote na kumtengua
yeyote kwa sababu yoyote au bila sababu yoyote!.
Kwasababu mteuzi anateua at her pleasures pia anatumbua as she please, kuna watu wametenguliwa kwa vikosa vidogo kama yule waziri mchonga vinyago na msemo wake ule wa kinyago ukichonge mwenyewe, hakiwezi kukutisha, akiita watu vinyago!, si akaja kuteleza na kujikwaa ulimi, akajikuta ameiropoka ile well guarded top secret ya siri ya ushindi wa chama kubwa!, bila kujua kuwa alikuwa anarekodiwa!, kama ilivyo tokea kwa yule andunje wa mjengo!.
By the time anashituka, ngoma ameisha panda na kwenda viral!, ikambidi ajibaraguze kwa kuzuga, kuwa it was a joke!, it was too late!, Maza akaamua kusafisha nyumba kwa kufagia takataka zote! hadi yule waziri kijana kosa lake ni lipi?!.
Kiburi cha madaraka na mamlaka kinamfanya kiongozi kuwa too blind to see, individual leadership talents akiamini you can make anyone to be anything and fit in any post!.
Ni baada ya muda amegundua
kuna watu wamepwaya!, viatu vya Janu, Nepi na Konda Boy bado havijapata watu vikawafiti barabara, hivyo kwa kazi iliyopo mbele yetu, ame realize baadhi ya watu are really good na wamemsaidia, hivyo mzazi amemwangukia mtoto!.
Hivyo soon tutashuhudia cabinet reshuffle, yule diplomat Mzenji atatafutiwa mahali pazuri tuu pa kuwekwa sio pale, pale anarejeshwa Barack Obama wetu, baadaye pia atagusa chama, ukilinganisha uenezi wa Konda Boy na aliyepo sasa ni mbingu na nchi!. Kwa vile huu ni mwaka wa uchaguzi, lazima twende na good ones!.
What does this mean? Maza is getting better and better!, kufikia October, she'll be the best!, akifika tuu ile tarehe ni mtu ....
unachukua....
unaweka....
.... malizia!.
Big Up Sana Mama!.
Paskali
Rejea nyingine za PPR analysis ni hizi
- Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila...
- Psychoanalysis ya Waomba Msamaha Kwa Rais, Makamba Snr is the Next, Membe Will Never for Pride, Kiburi na Jeuri, Kinana Will Never for Integrity
- Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
- Pascal Mayalla: Tanzania sasa inajenga Mifumo na sio kujenga watu kama enzi za Hayati Magufuli
- Pascal Mayalla amchambua Dkt. Bashiru, adai aliandaliwa kuwa Rais 2025
- Pascal Mayalla: Live ndani ya Star tv Karibu tumsikilize
- Uteuzi wa Dkt. Bashiru Ally, Pasco Mayalla kawa kimya
Kale "kakofi" alikopigwa kalisababishwa na nini?Kitu muhimu Je ni sifa za kweli?.
Huyu ndie PM wa awamu ya kwanza ya Rais Dr. Emanuel Nchimbi!
Sip mbeleko ni mtu wa ukwee
Mimi sip mtu wa maslahi binafsi, mimi ni mtu wa maslahi ya taifa mbele.
Utakuwa unanionea bure, wenye mbinu hizo ni machawa, mimi sio chawa!.
P
Una maana kupwaya wewe hujakuona?, kumetokea mgogoro kwa jirani waasi wameshika usukani, nchi yako inapewa fursa ku host mazungumzo kutafuta suluhisho, mtaitana wakubwa watupu, kuzungumzia amani ya eneo hilo huku hao waasi wenye eneo kibindoni, mmewaacha!. Hili dogo?. Huku sio kupwaya?.Hakuna kupwaya ni kila mtu ana aina yake ya utendaji,
Japo mimi ni kada, kuna mambo ya ndani siyajui, Polepole is the best kwenye sera na kuandaa ilani, wananchi wa kawaida wa hali ya chini, hawahitaji ilani, wanahitaji amsha amsha, Konda Boy is the best kwenye eneo hilo!.CCM kama wanavyofikiria kumrejesha humphrey polepole Lumumba, na Kama sio kanali Ngemera lubinga au Dr. Bashiru sababu wanajua hao ndio watu wanaweza ku counter propaganda za Upinzani.
Mzee Kijana Wasira is goodMzee Wasira ni lazima apate attacking midfielder wenye viwango
I just don't believe this,na wametumia ujanja kumtia kambani Dr Slaa maana Wakutane Slaa, Lissu, Heche hayo mawe yatakayorushwa inabidi kuwe na opposite fair reaction kutoka ccm.
CCM ina hazina kubwa.Juzi Heche kaanza na episode ya ubadhirifu wa SGR part gazzete wanaita uswahilini, CCM kama alivyosema Musiba wanahitaji vichwa kama Polepole na Bashiru ku counter propaganda za chadema.
Naunga mkono hojaIt was a matter of time kwa January kurudi na nadhani alitolewa kwa majungu tuu maana january ana nyota ya odinga sio watu wote wanamuelewa ila wenye akili huwa wanamuelewa sana.
Itakuwa hujui Nape ndie mfungaji wa bao la mkono!.Ila Nape hana kitu cha maana sana wala asirudishwe apambane na Steve Membe jimboni.
Naomba unikumbushe kakofi gani ?Kale "kakofi" alikopigwa kalisababishwa na nini?
Tukikajua tutatoa mchango mzuri zaidi,badala ya kupapasa papasa
Ambalo Mama alilisemaNaomba unikumbushe kakofi gani ?
P
Safi, mwalimu wa sayansi ya siasa. Uchambuzi makini lakini wanasiasa wanapaswa kuteua watu makini ili wasiwabadilishe Hawa wasaidizi wao kila mara. Maana kuwabadili kila mara ni kama vile hawaaminiki vile, na Tena ufanisi wao ni mdogo pale kiongozi anapopata uzoefu katika wizara,halafu umpeleke wizara nyingine, matokeo hakuna ufanisi.Wanabodi
Mimi ni story teller, from time to time, nitakuwa nafanya short sessions za News analysis ambazo zitaitwa "PPR News Analysis".
Nichukue fursa hii kuelimisha kidogo hii news analysis ni nini.
News analysis ni uchambuzi wa habari, kwa kuwaita manguli kuichambua habari
fulani na ina maanisha nini. Kwa Tanzania, TV inayofanya uchambuzi wa habari ni Star TV pekee kipindi chao cha Jicho Letu, Vyombo Vya Habari Vya Tanzania, Havina Uwezo wa Uchambuzi wa Habari, News Analysis-Jicho Letu lakini TV zote, Radio zote kutwa ni uchambuzi wa mpira tuu!.
Moja ya sababu kwanini hatuna news analysis ni kwasababu media yetu, hatuna watangazaji wabobezi
kihivyo wa kutosha.
Kwavile mimi ni mbobezi kihivyo wa kutosha, nimekuwa nawafanyia analysis za kihivyo from time to time.
Analysis ya leo ni kitendo cha Mama kumwangukia mwanae Janu, ila pia nimeikubali Tanga!, Tanga sio mchezo!, kama una jambo lako lolote, akatokea mtu akakuambia akupeleke Tanga, were nenda, hutajutia!, kunaonekana kuna wataalam na watalamuna!, mtu anatumbuliwa once, mtumbuaji anachomoka!, aliyeingia akamrejesha!, akapigwa majungu top down, left, right and center, akapigwa kibao na kufichiwa chakula alale njaa!. Leo Maza kamkumbuka, kamsamehe!, hi sio kawaida!.
Sasa kabla sijasema ya Janu, anzia kwanza hapa
If you're good, you are good!, yaani mtu ukiwa ni mzuri, ni mzuri, Janu is dam good!.
- January Makamba, very intelligent, humble, down-to-earth! Can make the best President
- January Makamba Top The List of Most Interactive Politician in Tanzania!
- Waziri wa Nishati January Makamba afanya historia, Awasilisha Hotuba ya Bajeti yenye QR Code mara ya kwanza kwenye Historia ya Bunge la Tanzania!
- January Makamba live! Ndani ya Mikasi EATV!. Watch Now!
- Tanzania bado tuna tatizo la upangaji vipaumbele vyetu, baada ya Elimu, Afya na kilimo, ilipaswa ije nishati!. Ni aibu na hatari kupikia kuni na mkaa!
Kuna viburi vingi, kiburi cha kupendwa, kiburi cha urembo, kiburi cha utajiri, kiburi cha usomi, kiburi cha u supper star, kiburi cha madaraka, kiburi cha mamlaka, kiburi cha male chauvanism, kiburi cha feminism, kiburi cha superiority complex etc na viburi vingine kibao ila for the sake of bandiko hili, nitajikita kwenye viburi fulani viwili, kiburi cha pesa, jeuri ya pesa, na kiburi cha madaraka yaani power corrupt.
Kiburi cha pesa au jeuri ya pesa, inaitwa money confidence, mtu akiwa na pesa, tajiri, anajisikia sana akiamini money can buy everything, ukiwa na pesa unaweza kufanya chochote!. Kiongozi ukipenda pesa na kuzungukwa na watu wenye pesa, then, watu wenye pesa watakuambia kufanya chochote na wewe you can't say no! kama Trumpu na Eloni Muski.
Kiburi cha madaraka, mamlaka na power ni kuzisikia unaweza kufanya jambo lolote kwa yeyote na kuona no one is indispensable, hivyo unaweza kumteua yeyote na kumtengua
yeyote kwa sababu yoyote au bila sababu yoyote!.
Kwasababu mteuzi anateua at her pleasures pia anatumbua as she please, kuna watu wametenguliwa kwa vikosa vidogo kama yule waziri mchonga vinyago na msemo wake ule wa kinyago ukichonge mwenyewe, hakiwezi kukutisha, akiita watu vinyago!, si akaja kuteleza na kujikwaa ulimi, akajikuta ameiropoka ile well guarded top secret ya siri ya ushindi wa chama kubwa!, bila kujua kuwa alikuwa anarekodiwa!, kama ilivyo tokea kwa yule andunje wa mjengo!.
By the time anashituka, ngoma ameisha panda na kwenda viral!, ikambidi ajibaraguze kwa kuzuga, kuwa it was a joke!, it was too late!, Maza akaamua kusafisha nyumba kwa kufagia takataka zote! hadi yule waziri kijana kosa lake ni lipi?!.
Kiburi cha madaraka na mamlaka kinamfanya kiongozi kuwa too blind to see, individual leadership talents akiamini you can make anyone to be anything and fit in any post!.
Ni baada ya muda amegundua
kuna watu wamepwaya!, viatu vya Janu, Nepi na Konda Boy bado havijapata watu vikawafiti barabara, hivyo kwa kazi iliyopo mbele yetu, ame realize baadhi ya watu are really good na wamemsaidia, hivyo mzazi amemwangukia mtoto!.
Hivyo soon tutashuhudia cabinet reshuffle, yule diplomat Mzenji atatafutiwa mahali pazuri tuu pa kuwekwa sio pale, pale anarejeshwa Barack Obama wetu, baadaye pia atagusa chama, ukilinganisha uenezi wa Konda Boy na aliyepo sasa ni mbingu na nchi!. Kwa vile huu ni mwaka wa uchaguzi, lazima twende na good ones!.
What does this mean? Maza is getting better and better!, kufikia October, she'll be the best!, akifika tuu ile tarehe ni mtu ....
unachukua....
unaweka....
.... malizia!.
Big Up Sana Mama!.
Paskali
Rejea nyingine za PPR analysis ni hizi
- Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila...
- Psychoanalysis ya Waomba Msamaha Kwa Rais, Makamba Snr is the Next, Membe Will Never for Pride, Kiburi na Jeuri, Kinana Will Never for Integrity
- Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
- Pascal Mayalla: Tanzania sasa inajenga Mifumo na sio kujenga watu kama enzi za Hayati Magufuli
- Pascal Mayalla amchambua Dkt. Bashiru, adai aliandaliwa kuwa Rais 2025
- Pascal Mayalla: Live ndani ya Star tv Karibu tumsikilize
- Uteuzi wa Dkt. Bashiru Ally, Pasco Mayalla kawa kimya
Ni mwendo wa kubebana na ukikataa unatishiwa kurogwa 😄Nje ya mada, hivi hakunaga viongozi wapya huko ccm hadi kurudishwa wale walee tu wakati walishakosea tena zaidi ya mara 1...hii nini maana yake?!.
Kaka yangu Mayalla majuzi umenikoea sana , maandiko yako nimeanza kuyachukia mkuuWanabodi

Mimi sijui ni nini cha kumpongeza mama isipokuwa kumlaumu kwa kutokuwa na principles za kufanya maamuzi na kujikuta unateua, unatengua, halafu unateua tena na kutangua tena. Haya mambo sio ya kupongezwa kwa mtu yeyote aliye na ukweli katika matendo yake. Tunapaswa kumlaani mama kwa udhaifu huu mkubwa. Waandishi "nguli" kama nyie mlipaswa kuwaelewesha watu vizuri na pia kulisemea kwa kweli yake, ila badala yake mnatumia ujinga juu wa rais kumpongeza na kujipendekeza kwake. Trump yupo sahihi sana.Wanabodi