Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
Kwa wale msioishi kwa mshahara, kuna Landcruise Prado mpya imetoka. Msisahau kutupa lift
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona walijaribu kuiga ile Land Rover Defender mpya ikashindikana.Kwa wale msioishi kwa mshahara, kuna Landcruise Prado mpya imetoka.Msisahau kutupa lift
View attachment 3028123
Utazinunua nyingi hizo bila kujua kuwa umenunua.Kwa wale msioishi kwa mshahara, kuna Landcruise Prado mpya imetoka.Msisahau kutupa lift
View attachment 3028123
NakaziaDr wa Uchumi aliweka kwenye bajeti hiu kitu? Asiisahau kila Mkuu wa Wilaya awe nayo.
Ngoja nizidi kuwachangia kina Mwigulu wazifaidi na madereva wao wazibomonde kwa uendeshaji wao wa ovyo!Utazinunua nyingi hizo bila kujua kuwa umenunua.
Kwa South Africa inauzwa kama R1.5m, pamoja na ushuru. Hiyo ni kama Tshs 220MAisee, kitu kimetulia vibaya. Bei ikoje tuwahi?
Wenye kuishi kwa mshahara na posho ndio watakaozifaidi hizo gari.Wenye kuishi Kwa mshahara kama walimu wa primary watupishe.hii mada hakiwahusu.
LaKini si walimu wa primary na askari wa vyeo chini kama kuruta na ukurutuWenye kuishi kwa mshahara na posho ndio watakaozifaidi hizo gari.
Unataka ukae karibu ubambie? Unajidai umekkosea gear mkono ukaenda kwingine.Tatizo la gari za siku hizi, zote zinakuwa designed kama kuna Covid, lazima mbele kuwe na social distance. Gari za zamani bwana mbele mngeweza kukaa zero distance 😀
View attachment 3028155
Kali sanaKwa wale msioishi kwa mshahara, kuna Landcruise Prado mpya imetoka.Msisahau kutupa lift
View attachment 3028123