Prado model mpya imetoka, kwa mnaobadilisha magari kama nguo!

Prado model mpya imetoka, kwa mnaobadilisha magari kama nguo!

Naona Toyota Land Cruiser Prado (2024) wameiga mwonekano wa BYD Leopard 5 (2023)

BYD Leopard 5 (2023)
post24428.jpg

images (22).jpeg


images (23).jpeg
 
Wale wapenzi wa defender ila moyo upo kwenye landcruiser ni wakati wao.
Toyota wameupiga mwingi
 
Maisha ni safari ndefu ukiwa na malengo utafanikiwa, kopa benki Ingia shambani Lima/fuga dhamana mshahara wako toa sadaka hakika utapata gari ya size yako
Dah.. umejua kunitia moyo. Barikiwa sana. Natamani nikufahami. Au basi.
 
Back
Top Bottom