Prado model mpya imetoka, kwa mnaobadilisha magari kama nguo!

Naona Toyota Land Cruiser Prado (2024) wameiga mwonekano wa BYD Leopard 5 (2023)

BYD Leopard 5 (2023)
View attachment 3028160

View attachment 3028163

Yaan nawashangaa sana mnaosema hii design toyota kaiiga. Toyota ana chuma inaitwa FJ cruiser, kaiangalie uje useme hapa nani kamuiga mwenzake

Hii design toyota wanayo toka 2007

images.jpeg

Hio juu fj ya 2007 latest yake inatoka soon coz waliacha production baada ya financial crisis ya 2008. Concepts zake ukichek ndo utaelewa hii prado wamechukua designs wapi.

Na ni tabia ya toyota kureuse designs, cheki fortuner na hilux za 2009 hadi 2012 hv, hizo gari cabin nzima interior design ni ile ile
 
View attachment 3028234

Muonekana wa hii chuma ni tofauti kabisa na hiyo Prado na BYD
 
Kuna baadhi wanasema BYD Yangwang U8 inafanana na Land Rover Defender ila sio kweli kuna tofauti
Huko kulinganisha ndio utata wenyewe kama ilivyo kwa BYD na Prado ya sasa.Binafsi nilipoiona mara ya kwanza tu hiyo byd picha ilinijia ya defender kuna some appearance kama ni mdadisi utagundua.
 
Back
Top Bottom