Prado model mpya imetoka, kwa mnaobadilisha magari kama nguo!

Dr wa Uchumi aliweka ununuzi wa hizi chuma kwenye bajeti ya mwaka wa fedha ? Asisahau kila Mkuu wa Wilaya awe nayo ili kupeleka maendeleo wilayani.

NB: Wasanii wa filamu, bongo flavour nao wakumbukwe angalau kila Msanii apewe msamaha wa Kodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…