Prado model mpya imetoka, kwa mnaobadilisha magari kama nguo!

Wale wapenzi wa defender ila moyo upo kwenye landcruiser ni wakati wao.
Toyota wameupiga mwingi
 
Maisha ni safari ndefu ukiwa na malengo utafanikiwa, kopa benki Ingia shambani Lima/fuga dhamana mshahara wako toa sadaka hakika utapata gari ya size yako
Dah.. umejua kunitia moyo. Barikiwa sana. Natamani nikufahami. Au basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…