Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera majirani,japo isije ikawa baadae ni 'Doping'!
Hata mwaka ule mlisema hivyo.Doping from position 1-16???? Highly unlikely!!
Si unajua hata Mtanzania afanye doping bado atavuta mkia 😂Hongera majirani,japo isije ikawa baadae ni 'Doping'!
Sawa boss.😂😂Ukiwa mwizi lazima ujue kukimbia
si unajua hata Mtanzania afanye doping bado atavuta mkia 😂
Tafadhali boss, hao ni Wakalenjin sio Wakenya. Mbio ni sehemu ya vinasaba vya Wakalenjin na Waoromo.Iko siku tutakuja kupigwa ban ya hizi mbio maana sio kwa kufunika huku, jameni hadi nimecheka sana.
Itawekwa sheria kwamba hairuhusiwi Wakenya zaidi ya watatu.
Wazee wa ubwabwa, chips mayai na vigodoro haya mambo yalishwashinda, kazi yao kuponda na wivu tu, naona hata huu uzi tayari wameanza kutiririka chuki.
Kwao huko hamna wanaloliweza, hata muziki imebidi waokolewe na Warundi wa Kigoma.
Tafadhali boss, hao ni Wakalenjin sio Wakenya. Mbio ni sehemu ya vinasaba vya Wakalenjin na Waoromo.
Hata hapa Tz sema hakuna scout nzuri ya vipaji vya riadha! Mambo yanakwenda kwa connection na kuishia kimjini mjini.. kuna waIraq, wamang`ati along the rift valley wako vizuri sana katika mbio sema wanakosa platform nzuri tu ya kuwaibua.
Tanzania kipindi cha kina Ikangaa, Nyambui na Bayi iling`ara sana kwenye mbio duniani. Saivi ujanja ujanja tu.
Iko siku tutakuja kupigwa ban ya hizi mbio maana sio kwa kufunika huku, jameni hadi nimecheka sana.
Itawekwa sheria kwamba hairuhusiwi Wakenya zaidi ya watatu.
Wazee wa ubwabwa, chips mayai na vigodoro haya mambo yalishwashinda, kazi yao kuponda na wivu tu, naona hata huu uzi tayari wameanza kutiririka chuki.
Kwao huko hamna wanaloliweza, hata muziki imebidi waokolewe na Warundi wa Kigoma.
Hao ni wairaqw na wanyaturu sio watanzania. Wewe msukuma huna potential kwenye mchezo wowote isipokuwa tu kuvalia highwaist na kutafuna mita kama tano za miwa. 😀Kweli kabisa, Wairaqw na Wanyaturu wako vizuri kwenye mbio. Ingefanyika juhudi kidogo wangefika mbali.
Hao ni wairaqw na wanyaturu sio watanzania. Wewe msukuma huna potential kwenye mchezo wowote isipokuwa tu kuvalia highwaist na kutafuna mita kama tano za miwa. 😀
Nyie mnachoweza ni mabio tu, mengine hamwezi.Iko siku tutakuja kupigwa ban ya hizi mbio maana sio kwa kufunika huku, jameni hadi nimecheka sana.
Itawekwa sheria kwamba hairuhusiwi Wakenya zaidi ya watatu.
Wazee wa ubwabwa, chips mayai na vigodoro haya mambo yalishwashinda, kazi yao kuponda na wivu tu, naona hata huu uzi tayari wameanza kutiririka chuki.
Kwao huko hamna wanaloliweza, hata muziki imebidi waokolewe na Warundi wa Kigoma.....