Pre birthday present ya Auntie Ezekiel kwa Wema Sepetu

Pre birthday present ya Auntie Ezekiel kwa Wema Sepetu

Kuna mwaka akiwa bado anadate na diamond kwenye birthday day yake alipewa Murano na diamond...walivyozinguana tukaambiwa kumbe hiyo gari aliinunua yeye mwenyewe kwa hela yake diamond alimuongezea kidogo tu!! Ndio nikachoka . Sijui lini wema ataacha show off za kijinga...
gfsonwin nimekumiss mkemwenza
Nipo mdogo wangu. Salam kwa swtlo wangu. Manake siku hiz bi mdogo umemkamatia haswaà. Zamu haifuati
 
Back
Top Bottom