Pre birthday present ya Auntie Ezekiel kwa Wema Sepetu

2019 -25= 1994 ....amezaliwa 1994 hivyo mwaka 1996 alikuwa miss Tanzania akiwa na miaka miwili ...safi sana!
1994 up to 2006 miaka 12 akashiriki u-miss akiwa kahitimu kidato Cha nne ambayo ni miaka 4 akitanguliwa na elimu ya msingi ambayo ni miaka 7 +4 alianza elimu ya msingi akiwa na mwaka 1 Safi Sana!
 
Aisee mm ni March. Yaan sio tu vitz hata funcargo napokea
Daaah! Kweli hustahili kupewa zawadi wenzako huwa wakinusa harufu ya zawadi Basi ujue mwezi ujao yeye ndio alizaliwa wewe mpaka March? [emoji848] Mtoa zawadi utakuta alishafulia na utakachoambulia no hi zawadi ya ahadi.
 
Chukua connection zetu tukutandike magari....
usijifiche sana ndani...
Nyuma ya keyboard huwa Kuna Mambo mengi sana aisee utakuta naahidi connection ili hali natafuta connection ya kwangu mwenyewe [emoji16][emoji16] nahisi kumpa mtu ahadi ya gari ili hali huwa napitia dirishani kwenye daladala haya Maisha buana [emoji3][emoji3]
 
Unadhani wote ni masikini kama ww!
 

Nyumbu nae anahangaika na Kiki wakat zilipendwa mxieew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…