BRN
JF-Expert Member
- Nov 18, 2013
- 5,188
- 6,633
Leo tarehe 31 Octoba, 2023 Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. David Concar amefanya ziara ya kutembelea timu ya Simba na kufanya mazungumzo na viongozi na watendaji wa timu ya Simba.
Kwa namna Simba walivyo na mikakati naona moja ya mazungumzo/maombi ya Simba kwa Mhe. Balozi itakuwa kuwasaidia kuwaunganisha na timu kubwa za Uingereza kwa urafiki, hivyo naona uwezekano mkubwa wa msimu wa maandalizi ya Ligi ya 2024/2025 timu ya Simba kuialika timu mojawapo kubwa kutoka EPL nchini.
Kwa Simba hili linawezekana ni suala la muda tu.