Pre Season 2024/2025 Simba inaweza kuileta klabu kubwa ya soka kutoka EPL

BRN

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2013
Posts
5,188
Reaction score
6,633
Leo tarehe 31 Octoba, 2023 Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. David Concar amefanya ziara ya kutembelea timu ya Simba na kufanya mazungumzo na viongozi na watendaji wa timu ya Simba.

Kwa namna Simba walivyo na mikakati naona moja ya mazungumzo/maombi ya Simba kwa Mhe. Balozi itakuwa kuwasaidia kuwaunganisha na timu kubwa za Uingereza kwa urafiki, hivyo naona uwezekano mkubwa wa msimu wa maandalizi ya Ligi ya 2024/2025 timu ya Simba kuialika timu mojawapo kubwa kutoka EPL nchini.

Kwa Simba hili linawezekana ni suala la muda tu.
 
Hata Yanga kaenda kwa Wananchi.
 
 

Attachments

  • 196203FE-912A-4F04-9D4C-F697344C51CC.jpeg
    25.5 KB · Views: 2
Kikwete aliwaunganisha na Sunderland, Sunderland walifurahi kwa kuwa Simba pia ilikuwa inaitwa Sunderland...!

Pia ilikuwa tayari kuwa saidia mambo mengi sana, kilichotokea wana jua wenyewe viongozi wa Simba!

Nazani walitaka msaada wa pesa zaidi kuliko misaada mingine au mashirikiano menginešŸ˜‚
 
Aaahaaa
 
So what!!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…