Precious Christopher kavaa skin tight ndefu

Precious Christopher kavaa skin tight ndefu

Kweli marefa wa wanawake wachezeshe mechi za kike huyu refa anachezesha vizuri na kwa upendo sana ukimgusa tu mwenzako akaanguka filimbi😂
 
Dah hivi wale wazungu wanawezaje kuwa feminine vile mbona wanakuwa warembo kuliko hata wasiocheza
Yanga angalau Sylivia ni princes
Wanawake wa kazi kazini

Rebeca Ajimuda -kasababisha kona
Silvia Thomas -kapiga kona
Agness Palangyo -kafunga goli la kwanza

Rita Akarekor -kachomoa penati

Wametosha kuikalisha Simba ukiondoa yule forward waliekua wanamkaba watatu watatu

Gemu saa ngapi leo tuwakalishe hao JKT?
 
Dah hivi wale wazungu wanawezaje kuwa feminine vile mbona wanakuwa warembo kuliko hata wasiocheza
Yanga angalau Sylivia ni princes
Embu tuma picha ya huyo Sylivia tumcheki.

Hawa mademu wagumu, wenye viduku na sura ngumu wanahatarisha ustawi wa soka la wanawake bongo. Tunahitaji kina Precious wengi zaidi, kwanza ana mvuto na mpira anaupiga mwingi.
 
Wanawake wa kazi kazini

Rebeca Ajimuda -kasababisha kona
Silvia Thomas -kapiga kona
Agness Palangyo -kafunga goli la kwanza

Rita Akarekor -kachomoa penati

Wametosha kuikalisha Simba ukiondoa yule forward waliekua wanamkaba watatu watatu

Gemu saa ngapi leo tuwakalishe hao JKT?
9:30 karibu sana kmc complex dah game itakuwa tough sana kwa Sasa tumepewa hapa ka mechi ka appetiser kabla ya mechi tunaangalia kolo na ceasia
Umechambua safi sana ila siku Ile palangyo alikuwa kwenye kiwango Bora sana
 
Embu tuma picha ya huyo Sylivia tumcheki.

Hawa mademu wagumu, wenye viduku na sura ngumu wanahatarisha ustawi wa soka la wanawake bongo. Tunahitaji kina Precious wengi zaidi, kwanza ana mvuto na mpira anaupiga mwingi.
Sylivia picha Sina ila ni mbavu ya kushoto alikuwa Simba msimu uliopita wakamuacha Precious acha kabisa akikimbia mrembo akipiga mpira mrembo akisimama kumsikiliza kocha mrembo akilaumu mrembo sichoki kumtizama na sijui kwa Nini yanga waliachana nae
 
Ka Zainab ceasia queens Nako ni katam tunaweza kukafatilia ila Kipa tausi ndie ua la team kwa ceasia naiagiza serikali impe ajira ya kudumu wizara ya utamaduni
 
Wale Yanga sio princess, yale ni majangili, maharamia, magaidi.

Kuna mmoja alikuwa fundi mechanic pale Mabibo, unamkuta kachafuka oil chafu
Sio kweli ni wadada wazuri kabisa tena very humble watizame tena
 
Corazone katoka
Simba wanajisikiaje team iliyofungwa 7 na Jkt wao Wana struggle kupata magoli ilihali walipaswa kuwa comfortable
 
Kipa wa ceasia anamzidi Camara uwezo
Tausi abdalah
 
We kweli hujui mademu wakali kama hao unaowataja ni watamu aisee unasafari ndefu sana Toka huko porini njoo town
Huna unachojua mi hata msichana nilie nae Sasa ni alikuwa footballer Kila mtu huwa na type zake mkuu
Kwa Sasa am in love with precious na nimeongeza na Tausi
 
Huna unachojua mi hata msichana nilie nae Sasa ni alikuwa footballer Kila mtu huwa na type zake mkuu
Kwa Sasa am in love with precious na nimeongeza na Tausi
We ni mshamba tu kama hao umewaona ni mademu wakali na ulivyojidhihirishia upo porini eti Mimi mademu zangu ni footballer au kwakua ni domo zege hujui kutongoza ndio maana unabeba hao matom boy ukiwa umeenda kuangalia mpira maana hao hata hutongozi ni ukiwashabikia tu tayari toka porini mshamba wewe
 
😂😂Hatari sana naomba upewe kazi ya dida pale wasafi
Nasema tena upewe bila usaili💯💯
 
Back
Top Bottom