Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawake wa kazi kaziniDah hivi wale wazungu wanawezaje kuwa feminine vile mbona wanakuwa warembo kuliko hata wasiocheza
Yanga angalau Sylivia ni princes
Gemu imeanza?Kweli marefa wa wanawake wachezeshe mechi za kike huyu refa anachezesha vizuri na kwa upendo sana ukimgusa tu mwenzako akaanguka filimbi😂
Embu tuma picha ya huyo Sylivia tumcheki.Dah hivi wale wazungu wanawezaje kuwa feminine vile mbona wanakuwa warembo kuliko hata wasiocheza
Yanga angalau Sylivia ni princes
9:30 karibu sana kmc complex dah game itakuwa tough sana kwa Sasa tumepewa hapa ka mechi ka appetiser kabla ya mechi tunaangalia kolo na ceasiaWanawake wa kazi kazini
Rebeca Ajimuda -kasababisha kona
Silvia Thomas -kapiga kona
Agness Palangyo -kafunga goli la kwanza
Rita Akarekor -kachomoa penati
Wametosha kuikalisha Simba ukiondoa yule forward waliekua wanamkaba watatu watatu
Gemu saa ngapi leo tuwakalishe hao JKT?
Acha madharau basi mkuu.😀😀😀😀Wale Yanga sio princess, yale ni majangili, maharamia, magaidi.
Kuna mmoja alikuwa fundi mechanic pale Mabibo, unamkuta kachafuka oil chafu
Sylivia picha Sina ila ni mbavu ya kushoto alikuwa Simba msimu uliopita wakamuacha Precious acha kabisa akikimbia mrembo akipiga mpira mrembo akisimama kumsikiliza kocha mrembo akilaumu mrembo sichoki kumtizama na sijui kwa Nini yanga waliachana naeEmbu tuma picha ya huyo Sylivia tumcheki.
Hawa mademu wagumu, wenye viduku na sura ngumu wanahatarisha ustawi wa soka la wanawake bongo. Tunahitaji kina Precious wengi zaidi, kwanza ana mvuto na mpira anaupiga mwingi.
Huna unachojua mi hata msichana nilie nae Sasa ni alikuwa footballer Kila mtu huwa na type zake mkuuWe kweli hujui mademu wakali kama hao unaowataja ni watamu aisee unasafari ndefu sana Toka huko porini njoo town
We ni mshamba tu kama hao umewaona ni mademu wakali na ulivyojidhihirishia upo porini eti Mimi mademu zangu ni footballer au kwakua ni domo zege hujui kutongoza ndio maana unabeba hao matom boy ukiwa umeenda kuangalia mpira maana hao hata hutongozi ni ukiwashabikia tu tayari toka porini mshamba weweHuna unachojua mi hata msichana nilie nae Sasa ni alikuwa footballer Kila mtu huwa na type zake mkuu
Kwa Sasa am in love with precious na nimeongeza na Tausi
😂😂Hatari sana naomba upewe kazi ya dida pale wasafiWe ni mshamba tu kama hao umewaona ni mademu wakali na ulivyojidhihirishia upo porini eti Mimi mademu zangu ni footballer au kwakua ni domo zege hujui kutongoza ndio maana unabeba hao matom boy ukiwa umeenda kuangalia mpira maana hao hata hutongozi ni ukiwashabikia tu tayari toka porini mshamba wewe
We mshamba tu Toka porini huko naona unazuga ila huo ndio ukweli wewe ni mporipori😂😂Hatari sana naomba upewe kazi ya dida pale wasafi
Nasema tena upewe bila usaili💯💯
Pole sana...Si msimu uliopita mlibahatisha pia
Ahhhaaa mtani...kama sura huioni ile shepu jee...😊😊😊Kwamba Shikangwa ni queen sio!?