Wamesitisha route ambazo hazina faida ili ku capitalize on the profit making routes.
Its a business strategy. You cut unnecessary costs for maximization of profits. Currently route zao za Mbeya, Mwanza na Kili ndo zinazowaingizia hela ndo maana wameongeza frequencies huko ili walau wapate faida itakayowawezesha kulipa madeni mengi yanayowakabili kwa sasa. Pili wameamua kurudisha maboeing yale coz running costs ni juu sana plus maintenance. Ukiwa na madeni halafu haupunguzi matumizi yako hamna tija unayoongeza kama unataka kuinusuru kampuni toka kwenye madeni.
Alphonce Kioko,PW ex CEO should be indicted by the ICC Hague for puting at risk the wellbeing of hundreds of employees + families!Precision air inakabiliwa na madeni mengi na pia hailipi kodi ya mapato, na ilinunuaroute nyingi ambazo hawawezi kuzi service jinsi inavyotakiwa.
Ufisadi uliomo ndani ya kampuni ya Precision umekithiri na kama ATCL mu watu wa mikakati, hii ndo chance kwenu, changamkeni.
Wafilisike wakati hawana mshindani? Hujasikia wanavyokaribia kufaulu kumwondoa Fastjet kwa mbinu za ujanja baada ya kuimaliza ATC/ATCL?
Wafilisike wakati hawana mshindani? Hujasikia wanavyokaribia kufaulu kumwondoa Fastjet kwa mbinu za ujanja baada ya kuimaliza ATC/ATCL?
Du, wamekunyima tiketi ya dezo nini mkuu ukaja kumalizia hapa.