Precision air kufilisika?

Precision air kufilisika?

Wamesitisha route ambazo hazina faida ili ku capitalize on the profit making routes.
Its a business strategy. You cut unnecessary costs for maximization of profits. Currently route zao za Mbeya, Mwanza na Kili ndo zinazowaingizia hela ndo maana wameongeza frequencies huko ili walau wapate faida itakayowawezesha kulipa madeni mengi yanayowakabili kwa sasa. Pili wameamua kurudisha maboeing yale coz running costs ni juu sana plus maintenance. Ukiwa na madeni halafu haupunguzi matumizi yako hamna tija unayoongeza kama unataka kuinusuru kampuni toka kwenye madeni.

Je umeona nauli za precision kwa sasa?
 
Precision air inakabiliwa na madeni mengi na pia hailipi kodi ya mapato, na ilinunuaroute nyingi ambazo hawawezi kuzi service jinsi inavyotakiwa.

Ufisadi uliomo ndani ya kampuni ya Precision umekithiri na kama ATCL mu watu wa mikakati, hii ndo chance kwenu, changamkeni.
Alphonce Kioko,PW ex CEO should be indicted by the ICC Hague for puting at risk the wellbeing of hundreds of employees + families!
 
Kufilisika sio rahisi sana ila kinachowezekana ni wamiliki kubadilika kwani tiyari jina wanalo, serekali ni vigumu kuikomboa maana ni ya binafsi na serekali haifanyi biashara na isitoshe ya kwao ATCL wameshindwa kuifufua hivyo ikitaka kuikomboa Precision ni kutaka kutafuta kashfa mpya ya ufisadi kitu ambacho naamini Mzee mwakiwembe hatakubali wembe umkate mwenye
 
Wafilisike wakati hawana mshindani? Hujasikia wanavyokaribia kufaulu kumwondoa Fastjet kwa mbinu za ujanja baada ya kuimaliza ATC/ATCL?


Mbona viwanda vyetu vya nyama, nguo, Matairi (General tyre), ZZK vilifilisika wakati vilikuwa peke yao?
 
Wafilisike wakati hawana mshindani? Hujasikia wanavyokaribia kufaulu kumwondoa Fastjet kwa mbinu za ujanja baada ya kuimaliza ATC/ATCL?

kyoko aliwafanya mbaya jamaa kawaacha hooi wewe bado una mawazo hayo? hivi unajua route yao muhimu kwa sasa ni mbeye tu na fasjet ikienda watakuwa wamewamaliza? kalaga baho!
 
mimi nashangaa serekali inatafuta mbia kuikoa ATCL ambayo ni national carrier na inasemekana kuna wa oman (waarabu) wameahidi kuifufua sasa sijui wataeleweka vipi wakipeleka hela za walipa kodi kwenye kampuni binafsi iliyohujumiwa wa wakenya ili waweze kumiliki hisa kubwa za PW
 
Back
Top Bottom