Rev. Damasus Mkenda
Member
- Dec 22, 2011
- 67
- 27
Wale wale!. mbona unafikiria karibu sana we mangi?. Hivi bei ya mafuta ikiwa chini na kuwezesha usafiri wa ndege kuwa say chini ya Tshs 50,000 kwende popote TZ , nani atapanda haya mabasi mikangafu? Kodi yetu inayoishia Uswisi na jersey ndiyo unayoililia?Kiuchumi, serikali makini haiwezi kufanya hivyo. Wanaopanda ndege ni asilimia ndogo sana ya watanzania. Kodi inayokusanywa kwenye mafuta ya ndege ikitumika vizuri inafaidisha watanzania wengi zaidi kuliko hawa wanaotumia usafiri wa ndege. Kuondoa kodi kwenye mafuta ya ndege ni sawa na kuondoa ziwa mdomoni mwa kichanga na kumpa baba yake.
FastJet inaleta changamoto kubwa kwa Precision air na hii ni nzuri lakini ni hatari sana kwa usafiri wa anga Tanzania kwa sababu FastJet hawawezi kwenda routes nyinginezo ukiacha ya Dar-Mwz na Dar-KIA. Dege lao kubwa vile kwanza haliwezi kutua mfano Mtwara na hakuna abiria wa kutosha kwenda kwenye destinations nyingine zaidi ya Mwz na KIA. Sasa kama Precision air ikifa hii fastjet itaweza kutoa huduma mikoa mingi kama precision wafanyavyo kwa sasa? kwa maneno hayo nisingependa Precision air ife!!
Precision air wajifunze kwamba competition is stiff and many more new entrants in the market are there to come. Waboreshe huduma ili abiria wasiwakimbie. Kuna watu kulipa laki 4 sio tatizo kwao bora tu huduma iwe nzuri. All in all competition in the service industry is a good thing. So Viva FastJet
Wale wale!. mbona unafikiria karibu sana we mangi?. Hivi bei ya mafuta ikiwa chini na kuwezesha usafiri wa ndege kuwa say chini ya Tshs 50,000 kwende popote TZ , nani atapanda haya mabasi mikangafu? Kodi yetu inayoishia Uswisi na jersey ndiyo unayoililia?
Mbona inawezekana sana? Hii hapo chini ni mifano tu na bei huwa zinapungua zaidi ya hizo:
View attachment 72859